TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Warussia hawana historia ya kufanya nchi nyingine koloni, bali wao waliweza kupanua imaya zao kwa kuwatetea waliokuwa wanaonewa ! Na hii ndiyo imewafanya kuwa wamoja na kuaminika!!!Warusi
===
1. Wazungu wakoloni siyo, mfano wanaizuia nchi ya Georgia isipitishe sheria ya foreign agents wakati wao US wanasheria hiyo.
2. Wazungu wakoloni siyo, mfano mwingine, wanaizuia nchi za ulaya Mashariki zisinunue gesi na mafuta nafuu kutoka Russia, wakati wao (US)wananunua bidhaa za nyuklia kuendesha mitambo Yao kutoka Russia!!!
3. Wazungu wakoloni siyo, wanahimiza Uhuru wa kujieleza na Uhuru wa kupeana habari, lakini wamemfunga Assange kwa kusema ukweli!!!
Nina mifano mingi ya Wazungu wakoloni jinsi wasivyoweza " to Walk their Talk" sawa sawa na masuala haya ya demokrasia..!
Kwa kifupi hawana moral authority ya kueleza habari za demokrasia kwa matendo Yao haya.