Ishu ya msingi sio aina ya uongozi uwe wa kijeshi au kidemokrasia bali ishu ya msingi ni vision ya mtu anayeongoza.
Jamaa ana akili nyingi sana na uongo wa mbali sana,ana reasoning capability kubwa sana kuliko viongozi wote wa Africa kwa sasa.
Wakati viongozi wa nchi nyingine za Africa wakijiongezea mishahara na kuongezea mishahara wabunge kila wakati,kununua magari mapya ya bei kubwa kila awamu kisha ya zamani wanayatelekeza,wakati wakulima wanateseka, kwa ukosefu wa zana,huduma za afya ni mbovu vijijini.
Huoni kwamba maamuzi anayofanya huyu jamaa amewazidi mbali sana Marais wengine kwa kufikiria