Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Ukiona hivyo, jua raia wameshachoshwa na demokrasia za kilaghai.Watanzania wengi wanapenda kushabikia uongozi wa kijeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo, jua raia wameshachoshwa na demokrasia za kilaghai.Watanzania wengi wanapenda kushabikia uongozi wa kijeshi.
Hazikupata maendeleo zikiwa za kidemokrasia. Hakuna nchi ya kidemokrasia inaweza kupata maendeleo.Nchi za kidrmkokrasi zote zina maendeleo. Labda huelewi maana ya demokrasia. Demokrasia maana yake kila mhimili unajitemea na unafanya kazi kivyake ndo mana marekani rais anaweza kushtakiwa na kufungwa soyo tanzania wala afrika ambapo demokrasi hamna ispokuwa africa kusini tu
Yeyote ila hawa vibaraka mwisho utafika tuNa aje ila sio yule comedian, swindler, wa Arusha.
Ajaye ni Gwajima!!
Verry soon!!Yeyote ila hawa vibaraka mwisho utafika tu
South Africa na nchi zingine za ulaya. Maendeleo yao ni endelevu tafauti na nchi za kidicator. Mfano putini akifa tu na uchumi wa urusi unayumba mana mwenye sauti ni mmoja. Faida ya demokrasia hata muweke kichaa kiwa rais bado hataathiri uchumi maana siyo last decision makerHazikupata maendeleo zikiwa za kidemokrasia. Hakuna nchi ya kidemokrasia inaweza kupata maendeleo.
Benjamin Franklin once said: "Those who would give up essential Liberty, to purchase a little temporary Safety, deserve neither Liberty nor Safety."Sometimes not all the time.
Tumechoshwa na hili liCCM, bora liondoshwe hata kijeshi.
Hehe afrika kusini tokea waachiwe hao weusi na demokrasia za mzungu si ndo na nchi ikaanza kuharibika,, SA wangeanza watu weusi na hizi demokrasia za mzugu kwa sasa wangekua tu kama mataifa mengine ya huko kusiniSouth Africa na nchi zingine za ulaya. Maendeleo yao ni endelevu tafauti na nchi za kidicator. Mfano putini akifa tu na uchumi wa urusi unayumba mana mwenye sauti ni mmoja. Faida ya demokrasia hata muweke kichaa kiwa rais bado hataathiri uchumi maana siyo last decision maker
South Afrika iliendelea wakati wa makaburu wabaguzi wa rangi. Leo kwenye demokrasia hata umeme hawana, hata yale mazuri wameyaharibu. Nchi za Ulaya ziliendelea zamani kabla ya demokrasia. Kilichopo sasa ni demokrasia kuyaharibu maendeleo hayo.South Africa na nchi zingine za ulaya. Maendeleo yao ni endelevu tafauti na nchi za kidicator. Mfano putini akifa tu na uchumi wa urusi unayumba mana mwenye sauti ni mmoja. Faida ya demokrasia hata muweke kichaa kiwa rais bado hataathiri uchumi maana siyo last decision maker
View: https://youtu.be/GxN6WSDDIF8?si=6EyFTUpKptlgFoEm
Huko ni Burkina Faso.
Kutokana na fedha alizoziokoa, Capt. Ibrahima amenunua matrekta 5,000 na kuyagawa kwenye vijiji vya Burkina Faso. Ameweka lengo la kutonunua chakula kutoka nje katika miaka mitano ijayo, pia kutengeneza asilimia 60% ya nguo zote nchini (Tujilishe na tujivishe wenyewe).
Na kwa vile nchi hiyo inakabiliwa na uasi uliopangwa na Ufaransa kwa sababu ya kuchukua rasilmali za nchi hiyo (kumbuka Congo), Cap. Ibrahim aliwafukuza wanajeshi wote wa Ufaransa nchini mwake na sasa vita vya kukomboa maeneo yanayoshikiliwa na waasi, wanapigana Waburkinabe wenyewe. Baada ya majeshi ya Ufaransa kusua sua kwa miaka mingi wakidai waasi wana silaha kali, sasa jeshi la Burkinabe limeanza kurudisha ardhi yake. Leo hii amekomboa eneo muhimu lenye machimbo makubwa ya dhahabu lililokuwa linashikiliwa na waasi. Amefanikiwa kufanya hivyo baada ya kununua vyombo vya kisasa vya kijeshi, vifaru na magari ya deraya, zikiwemo drone 20 kutoka China, Iran...na drone zinazosifiwa zaidi kutoka Uturuki za Akinci ambazo zina uwezo wa kugundua na kuwaangamiza waasi hata saa nane za usiku, hata wakiwa wamejificha chini ardhini, kwa kutumia miali ya laser ya kuangaza (infra red). Sidhani kama Bongo tuna zana hizo, ingawaje tuna uchumi almost maradufu ya BF. Ni uaminfu, uzalendo, akili na upangaji (vitu ambavyo hatuna). Nikisoma hivi nalia kwa uchungu na hasira. Acha nisiendelee nisije nikatukana! Kweli matatizo yetu makubwa ni uongozi mbovu. Huyu kijana wa miaka 34 ameigeua nchi kabisa katika miaka miwili tu. Dhahabu yote ya BF inachimbuliwa, kusafishwa na kuuzwa na Waburkinabe wenyewe. Hata baadhi ya mashine za kufanya hivyo zimebuniwa na kutengenezwa na Waburkinabe wenyewe! Amekwisha nunua mashine za kupanda, kuvuna, kuondoa mbegu na kusuka pamba...katika miaka hiyo. Ukosefu wa kazi umepungua kwa asilimia 4 katika miaka hiyo miwili tu. Na sasa amepunguza mshahara wake na Mawaziri kulipia maendeleo. Bado anatembelea Isuzu 2018!
Unafikiri ufalme wa Mungu ambao huwa tunasali uje ni wa kidemokrasia?Sasa udictar ndo balaa. Mauaji nje nje. Hata mungu hapendi udictator ndo mana kamuwahisha jpm
🤔🤔🤔🤔🤔Unafikiri ufalme wa Mungu ambao huwa tunasali uje ni wa kidemokrasia?
Kumbuka south afrka iko kati nch za g8 na ni ya pili afrika kwa uchumi. Hata majuzi tu uchaguzi wao umeenda kidekrasi hakuna wizi wowote tofauti na jpm ambaye alipora uchaguzi wote kwa kutumia wakurugenzi Na sasa tuna bunge la ajabu ambalo haliwezi hata kumwambia samia fanya hiki acha hikiHehe afrika kusini tokea waachiwe hao weusi na demokrasia za mzungu si ndo na nchi ikaanza kuharibika,, SA wangeanza watu weusi na hizi demokrasia za mzugu kwa sasa wangekua tu kama mataifa mengine ya huko kusini
Marekani haijawahi kuwa ya kidikteta na ina maendeleo. Uingereza ilianzisha First Reform Act mwaka 1832. India imekuwa ya kidemokrasia miaka mitatu baada ya uhuru, ilinganishe na Pakistan inayoongozwa na majenerali muda mwingi. Na walipata uhuru kwa pamoja.Hazikupata maendeleo zikiwa za kidemokrasia. Hakuna nchi ya kidemokrasia inaweza kupata maendeleo.
Tunaweza kuondoa demokrasia za ulaghai bila kutamani utawala wa kijeshi.Ukiona hivyo, jua raia wameshachoshwa na demokrasia za kilaghai.
Marekani ilkuwa kama South ya Makaburu. Miaka 70 baada ya uhuru ndiyo utumwa wa tu weusi ulikomeshwa. Katika miaka hiyo yote walikuwa wanachinja Wahindi wa Marekani na kuwapora ardhi. Wanawake hawakuruhusiwa kupiga kura hadi miaka ya 1920's. Watu weusi hawakuruhusiwa kupiga kura hadi miaka ya 1960's. Huwezi kusema nchi hiyo ni ya kidemokrasia, kusema ya kibepari ni sawa. Leo demokrasia ya Marekani imekomaa lakini ndiyo inadidimiza nchi. Leo nchi yao haiwezi hata kujenga high speed railways sababu ya kubishana na urasimu unaoletwa na demokrasia. Hata uhalifu unawasumbua kudhibiti.Marekani haijawahi kuwa ya kidikteta na ina maendeleo. Uingereza ilianzisha First Reform Act mwaka 1832. India imekuwa ya kidemokrasia miaka mitatu baada ya uhuru, ilinganishe na Pakistan inayoongozwa na majenerali muda mwingi. Na walipata uhuru kwa pamoja.