Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,672
- 1,814
- Thread starter
- #21
Kuna baadhi ya ukweli katika hili. Lakini pia kuna wanajeshi walioacha madaraka wenyewe. Hii inatokana na mambo mengi, si rahisi kuzungumzia hapa. Kwani si kuna raia, Paul Biya, Nguma na wengine ilibidi kuwang'oa?Kwani idd Amin alianzaje mwanzoni mwa utawala wake si watu walikuwa wanasema ameletwa na Mungu ila baadae iliishaje...
mara nyingi utawala wa kupinduana kijeshi kama hivyo hauna mwisho mwema. Sifa kubwa ni kukataa kutoka madarakani na kuona nchi ni kama mali yako si mnamuona m7 wa ug.
Ama juu ya Amin...wee hujui hujuma alizofanyiwa mpaka kugeuka kuwa mbaya. Kitendo cha Mwalimu kuwakaribisha wapinzani wake na kuwapa kambi karibu na mpaka wake, kuchochea uasi wa Waacholi ndani....ungekuwa wewe ungefanyaje?