Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Safi maana kila kona wamekula za uso. Team wanaharakati uchwara hawajaweza kumtoa kwenye tuzo,yeye kama yeye nae hataambulia kitu.
 
Hata kuwa nominated nayo ni sifa tosha...

Kwenye promo zake ataongezea neno la BET Nominee.... Hongera kwa Kijana amefanya mengi (A life well Spent)
 
Sababu yako haina mashiko!! Kitakachomfanya asishinde sio kwa sababu eti yupo CCM, na ndio maana hata ile petition yenu, waandaaji wa tuzo wameona ni ujinga tu!!

Muda utazungumza, muda ni mwalimu muda mzuri, so kaa kwa kutulia
 
Uliona wapi Alikiba akiimba kuwa bladifakenii ni baba lao?
Kuimba babalao kumbe ndio issue[emoji849]. Nikajua kisa kampeni za sisiemu. Aisee rafiki hapo nimeelewa chuki ni kwa diamond alone sio kisa alishiriki kampeni. Maana kuimba ni kazi yake na ana maamuzi ya kuimba anachotaka
 
Kuimba babalao kumbe ndio issue[emoji849]. Nikajua kisa kampeni za sisiemu. Aisee rafiki hapo nimeelewa chuki ni kwa diamond alone sio kisa alishiriki kampeni. Maana kuimba ni kazi yake na ana maamuzi ya kuimba anachotaka
Kisa siyo kampeni za CCM wala yeye kuwa CCM bali tatizo ni kumuunga mkono bladifakenii ambae alikuwa na systematic kampeni ya kuteka,kutesa,kuua,ukabila,ukanda,ubaguzi wa rangi,kuua demokrasia,kuua uhuru wa kujieleza na kadhalika.Unapokuwa unamuunga mkono mtenda maovu nawe unakuwa ni mtenda maovu pia.
 
Sawa. Je katika wasanii wa Tanzania ni yeye peke yake? Mbona hizo kampeni sizikii kwa harmonize, alikiba, nandy na wengineo maana nao walishiriki. Tena na walitambiana baada ya kupewa zile kofia na the late. Au mabaya ni kwa mmoja tu kwa wengine masafi??. Ndio swali langu hilo
 
Mbona nae yupo njiani anaenda labda atapokelewa na Alicia k
 
Mond akienda lima mawese ujue kuna fursa ya mabilioni kaiona...anaweza kua mkulima mzuri na mkubwa sana.
 
Wanaija wanakubalika sana USA,sie wacha tukalie majungu na uchawi,badala ya kumsapoti kijana wetu,ndio kwanza tunaendekeza chuki,kisa tunaona wivu,
Maskini yoyote ni mchawi,watu wote wanaomponda Mond,ama ni maskini
 
Wengine kufanya maovu sawa na ya Diamond haiondoi ukweli kuwa Diamond alifanya maovu wala haiwezi kuondoa lawama kuwa Diamond alifanya maovu.Kwani rafiki ikitokea diamond peke yake amepelekwa mahakamani kwa kuunga mkono maovu aliyofanya bladifakeni, Diamond anaweza kujitetea huko mahakamani kuwa hana hatia kwa sababu hata wasanii wengine walifanya maovu hayohayo?

Two wrongs can't make a right.Wengine kufanya maovu yaleyale aliyofanya Diamond haizuii wala haitoi kibali cha kuzuia Diamond kulaumiwa na kuhukumiwa.
 
Dai na vigagula wenzake wasione hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…