Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Kwani ni msanii pekee yake diamond aliyeunga mkono juhudi?
Mbona wasani ni wengi tu wapo wengine mpaka walijifanya makomando kutembea na kamba,mbona hamwalaumi!
Hebu acheni zengwe kama kuna lingine mseme

Ova
Kwani kuna wasanii wengine wa Tanzania tofauti na Diamond wanaogombea tuzo za bet?

Tumeamua kuwaambia mabeberu picha halisi ya kijana wetu anaegombea hiyo tuzo ili wachukue hatua maana mabeberu ndio wanahubiri haki za binadamu.

Kama kweli Diamond aliunga mkono maovu ya yule gaidi wa chato hatuna budi kumsagia kunguni ili kutengeneza jamii bora inayojali haki za binadamu.

Mnaomtetea diamond kwenye hili fikirieni upya! Mtu anakula meza moja na adui yako ambaye anaua ndugu zako, alafu papo hapo anakuzomea vile unatendewa ukatili... Rejea wimbo wake wa kumsifu Dictator
 
Kuimba babalao kumbe ndio issue[emoji849]. Nikajua kisa kampeni za sisiemu. Aisee rafiki hapo nimeelewa chuki ni kwa diamond alone sio kisa alishiriki kampeni. Maana kuimba ni kazi yake na ana maamuzi ya kuimba anachotaka
Huo muda uzungumze kwa diamond peke yake tu? Wasanii wengine wao muda kwao ni bubu
Ww lazima utakuwa goma la diamond sio kwa kumtetea hivyo
 
Hata hao wengine wangekuwa nominated kwenye hayo matunzo wangesagiwa kunguni no way,ila ss wanatakiwa wajifunze
 
Usiku wote huu au unalubido uko pekeako kitandani unaleta habari za umbea humu unashtua watu tumelala mkyuundu kweli [emoji67]β€πŸ¦½[emoji67]β€πŸ¦½[emoji67]β€πŸ¦½
Hiyo ID yako inaendana kabisa na hii post
 
Kadri maisha yanavyokuwa magumu,wabongo tunazidi kuwa wachawi,
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati vijana wetu wanarudi kutoka kupata ushindi wa big brother Afrika,walikuwa wwnashangiliwa sana,nchi nzima ilijitahidi vijana wanapata ushindi,na wakirudi,airport ilikuwa inajaa,
Mwisho Mwampamba,Richard,Hawa walishangiliwa na kupewa sapoti kubwa sana,
Leo Kuna watu wanasubili Mond ashindwe,wafurahi,utafikiri akishindwa watatoka kwenye ufukara wao unaowakabili kuanzia babu zao,baba zao,mpaka watoto wao.
 
Naomba kuuliza wakuu, hiyo category ya Best International Act ni kwa ajili ya waafrica tu? mana tokea nianze kuisikia humu naona wanajadiliwa waafrica tu.
 
Domo mwenyewe mchawi kumtetea magu
 
Hivi rayvan alishachukuaga hii tuzo kama upcoming artist BET nakumbuka, dai hii tuzo anaitamani nusu kufa lakini ndiyo hivyo alijichanganya kuingia kwenye siasa na kuchagua upande ule wa manjano
Kwani hao manjano, kijani, blue na udhurungi wanahusika huko BET, huyo Rayvanny naye pamoja na waimbaimba wote wa Bongo si wanashabikia pande hizo hizo.
I see this as personal hatred against Domo, nadhani mafanikio yake ndiyo yanayomtengenezea haters.
 
Mbona watu wa humu jf ndo zao mkuu
Ni kama kule kwenye uzi za magari, huyu anamtambia mwenzie kuwa gari X ni ya kike mara mwingine anasema wewe hujui gari. Yani vurugu kama zote, yote tisa kule kila mtu ana gari tena Audi, BMW, Escalade, Benz, and the likes.[emoji1787][emoji1787]
 
Hiki ni nini ? πŸ€£πŸ’πŸ€ΈπŸ‘‡

Magufuli vitendo, sio maneno maneno
Tunampa kitengo kwa kufika malengo,
Ameziba mapengo kwa upendo,
Magufuli namba wani iyeeh 🎢

Unamuumbua bwana
 
Shekh umeleta hii post kimbea sana na kiuchokozi.. Ni hayo tu!!
 
Naomba kuuliza wakuu, hiyo category ya Best International Act ni kwa ajili ya waafrica tu? mana tokea nianze kuisikia humu naona wanajadiliwa waafrica tu.
Akishinda mtu wa nje ya Afrika Domo haters hawatafurahi, kiu yao Domo apigwe bao na mtu wa Afrika ili ionekane wanamzidi kuliko kuoneka kuwa wote wako fungu moja la kuwa nominees na wote wameangukia pua kuwa kwenye fungu la kukosa.
Yaani hawataki awe kwenye fungu moja na wababe wa Afrika ya Magharibi, wanataka aonekane ni sawa na Kibamia na Panya.
 
Ni kama kule kwenye uzi za magari, huyu anamtambia mwenzie kuwa gari X ni ya kike mara mwingine anasema wewe hujui gari. Yani vurugu kama zote, yote tisa kule kila mtu ana gari tena Audi, BMW, Escalade, Benz, and the likes.[emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hatari tupu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…