Burna Boy ni zaidi ya Wizkid na Davido kwa sasa?

Bro Patoranking ni nyoko sanaaa Jamaaa Anajua Since namuona kwenye Ngoma zake za Kwanza.


Another Level,Make Am,

Such Different,Kid of love, Acha izo kuna mkwaju yupo na Sarkodie wa Ghana hatariii
Mkuu unadhani kwanini Mpaka kifo Bibi kidude alikuwa anapiga show ulaya ??? African Genre Ni muziki Super .... Ndicho anachofanya Burna ...


Patoranking namkubali Sana coz anaimba muziki ninaoupenda.
 
Hit nyingi kuliko Wiz na Davido?? Hapa umeongopa Hao viumbe viwili wana kete nyingi mno kaliii
 

Najua alikuwepo muda mrefu ila hakuweza kupata spotlight hadi alivyokuja kivingine. Kingine mimi sisikiliziki tu nyimbo za mainstream maana kuna wengi tu hupigiwa promo while hawana uwezo..

Pia Burna sikuwahi kumuweka kama msanii the best maana hata yeye anaimba pongolo music na katika category ya Pure African sounds namuweka Simi na Mr flavour (japo huyu nae huwa anaimba pongolo).
 
P
Mkuu unadhani kwanini Mpaka kifo Bibi kidude alikuwa anapiga show ulaya ??? African Genre Ni muziki Super .... Ndicho anachofanya Burna ...


Patoranking namkubali Sana coz anaimba muziki ninaoupenda.
Patoranking yule noma Anaimba mno. Ngoma zake zina Tani nyingi
 
Acha kulinganisha hizo takataka na Egbe Egbe Burna Boy .... Yaani unamlinganisha Korede Bello Na Burna .. Wewe Jamaa acha mambo yako humjui Burna Wewe...
Sijalinganisha...nimesema Kila mtu ana era yake....simjui Burna unamjua wewe ndugu yako wa damu!
 
Pongolo Ni nini ??
 

Ila patoranking ana kichwa cha kutengeneza hit songz. Halafu anavyoimba Dancehall unaweza hisi ni mjamaica πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Pato namkubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…