Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
images (1) (10).jpeg


Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Burna Boy hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi.

Kwa mujibu wa Steflon Don, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya kuvunja uhusiano wake wa kimapenzi na staa huyo mkubwa barani Afrika. Steflon Don alisema;

Nilimwacha Burna Boy kwa sababu hakuweza kunipa ujauzito na kubwa zaidi hakuwahi kuniridhisha kitandani kwa sababu performance yake kitandani ni mbovu sana.”

Baada ya kauli hiyo ndipo Burna Boy akajibu yafuatayo;
Ni kweli sina nguvu za kiume (jogoo hawiki) na siwezi kumpa ujauzito mwanamke, lakini nina pesa kwangu hii inatosha…”
 
Na isionekane kama namkufuru Mungu lakini, ni kheri ukose pesa lakini si nguvu za kiume.

Na ya kheri pesa yako iwe kidooogo sana lakini Mungu akupe uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke.
Kuna mtu mmoja tuliwahi bishana humu, anasema heri kutokuwa na nguvu za kiume (jogoo hawiki) ila uwe na pesa. Sikumbuki ni nani.

Nilishangaa sana mpaka nilihisi huenda si rizki.
 
Mleta mada wewe naye kilaza tu, kwa nini unaelezea stori upande mmoja tuu? hujaelezea kwamba Burna na Steflon waliachana kwa ugomvi.

Baada ya hapo Burna akamtungia wimbo Steflon unaoitwa "Last Last" ambao ni hit song haswaa.

Kwenye huo wimbo intro yake inasema;​
"E don cast
Last, last
Na everybody go chop breakfast (na everybody go chop breakfast)
Have to say bye-bye, oh
Bye-bye, oh

To the love of my life".

Sasa hako ka mstari ka "Na everbody go chop breakfast" unamaanisha kwamba "Steflon ni malaya anayegawagawa kirahisi ndiyo maana alimuacha".

Baada ya hapo ndo Steflon akaamua kumchafua jamaa kwa kumsingizia kwamba "Hajiwezi Kitandani" ambayo ni tuhuma ya kawaida kutoka kwa mademu pindi wanapoachwa.

 
Duuuh, hilo la kutoweka ujauzito inaweza isiwe shida sana, maana wanaweza hata wakaasili mtoto, ila kutogonga mzigo vizuri, jamaa inabidi akomae na vitunguu saumu na matangawizi, kujitetea kwamba ana hela haitoshi.
sio shida zake, usimpangie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora nipewe vyote nguvu na pesa.nikiambiwa nichague kimoja nitachagua nguvu.pesa haina maana Kama shughuli huna mwanamke atakukimbia tu.

Atapata mahitaji yote ya kifedha,kula vizuri,kulala vizuri,kuvaa vizuri.sasa kwenye mahitaji ya kimwili hapo ndipo utasaidiwa hadi na gardener
Na isionekane kama namkufuru Mungu lakini, ni kheri ukose pesa lakini si nguvu za kiume.

Na ya kheri pesa yako iwe kidooogo sana lakini Mungu akupe uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke.
 
Back
Top Bottom