Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Wabongo kwa kuendekeza ngono !!
Yaani mtu na akili zake anasema eti heri nguvu za kiume kuliko Pesa. Hapo hapo anaomba elfu moja kwa mwenzake ili abeti.

Kuna watu wamefanya hii dunia iwe bora kabisa na hawakuwa na watoto wala mke na wengine walikuwa ni mahanithi kabisa. Huu ujinga ndiyo unasababisha vijana wetu wawekeze kwenye vumbi la Congo badala ya kuwekeza kwenye masomo au biashara.

Ukisikia wanasema "kazi kazi", jua wanazungumzia mambo ya ngono na siyo kazi ya kuwaletea kipato.
 
Wabongo kwa kuendekeza ngono !!, nguvu za kiume bila pesa zitakusaidia nini ?, utaweka mezani badala ya mkate ?, utapelekea wazazi kijijini hizo nguvu za kiume ?, pesa ndio heshima ya mtu, huyo changu aliyemzodoa jamaa atashangaa wenzake wanaenda hapo na wanatulia
Nenda kamuone Daktari upatiwe matibabu unaweza kupona. Kukosa nguvu za kiume kunachangia sana mtu kukurupuka hovyo hovyo kama ulivyofanya wewe.

Pesa bila nguvu za kiume yafaa nini?
 
Yaani mtu na akili zake anasema eti heri nguvu za kiume kuliko Pesa. Hapo hapo anaomba elfu moja kwa mwenzake ili abeti.

Kuna watu wamefanya hii dunia iwe bora kabisa na hawakuwa na watoto wala mke na wengine walikuwa ni mahanithi kabisa. Huu ujinga ndiyo unasababisha vijana wetu wawekeze kwenye vumbi la Congo badala ya kuwekeza kwenye masomo au biashara.

Ukisikia wanasema "kazi kazi", jua wanazungumzia mambo ya ngono na siyo kazi ya kuwaletea kipato.
YES! Naunga hoja! Tuna mavijana majinga sana kama Taifa.
 
Hapo kwenye punyeto ndio shida inapoanzia ukiweza kujidhibiti kutojichua, mishipa ya uume iwe imara, acha ulevi wa pombe kupita kiasi, fanya mazoezi kutembea au pushups, kula matunda na mlo kamili, halafu hauna stress plus uwe unapiga vitunguu saumu na tangawizi kila baada ya siku tatu kwa wiki, usisahau ndizi mbivu halafu uwe unatafuna pilipili manga na karafuu hizo nguvu ukizikosa basi una tatizo kubwa,
Ukishaona unakula hayo mapilipili manga na mavitu hayo uliyoyataja kiasili huna nguvu za kiume mwanaume aliyekamilika haitaji kula hayo mavitu yote
 
Back
Top Bottom