Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Kuna mtu mmoja tuliwahi bishana humu, anasema heri kutokuwa na nguvu za kiume (jogoo hawiki) ila uwe na pesa. Sikumbuki ni nani.

Nilishangaa sana mpaka nilihisi huenda si rizki.
Wewe hujawahi kukumbana na dhiki za dunia mpaka unatamani uuze figo?
 
MWANA UNAKOSA VITU VITAMU.POLE LAKINI

KWELI PESA SIO UFUMBUZI WA KILA KITU.
 
Wacha tutambe na nguvu zetu bwana wewe....ukijua unapata lishuga mammy maisha yanaenda freah kabisa.
Sasa hela unayo alafu hutombiii raha ya dunia iko wapi
Imagine ! kuna boss wangu mmoja walikuwa wanadai naye hawezi haya mambo eti, siku moja akasema nitachukua likizo niende vacation sehemu tulivuuu! waja tukaongeza tukiwa na udadisi flan ivi "yenye totoz wakali boss" si eti eh akajibu hapana akarudi "sehemu tulivuuu yenye kijaniii tuuu so cool" tukatizamana na wale wenzangu mh
 
Raha ya hela uweze kufurahia tendo na totoz pisi kali
 
Kwa kweli aisee sasa mie unanipeleka sehemu tulivuu ya kijaniii 🤣 nigonge wine zangu alafu uniambie ni enjoy ukijani 🤣 aloooo
Wakati hapo wine ilisha amsha genye vilivyo kyupi ndio ilishalowa unachohitaji wewe ni kumbato na kuanza kupelekewa moto🤣🤣🤣🤣
 
Bora nipewe vyote nguvu na pesa.nikiambiwa nichague kimoja nitachagua nguvu.pesa haina maana Kama shughuli huna mwanamke atakukimbia tu.

Atapata mahitaji yote ya kifedha,kula vizuri,kulala vizuri,kuvaa vizuri.sasa kwenye mahitaji ya kimwili hapo ndipo utasaidiwa hadi na gardener
Hayo yako wewe.
 
Wakati hapo wine ilisha amsha genye vilivyo kyupi ndio ilishalowa unachohitaji wewe ni kumbato na kuanza kupelekewa moto🤣🤣🤣🤣
Haswaaaaaa naambiwa haya mama enjoy ukijaniiii 🙄
 
Demu kama Steflon Don hilo ndiyo jibu lake sahihi,MR Burna akijaribu kubishabisha atakutana na gubu la kijamaica,mademu wenye asili ya huko wana midomo michafu kushinda hata Dada zangu wa Buza.
Duuuh ndo najua leo! Ila hata akiwa na mdomo mchafu vipi, hakuna kipya so ningekuwa Burna ningejibu tu yaani. Huyo E Don ni kimer tu
 
Lakini mbona jamaa anaonekana mtu wa zoezi sana, hii ishu ya nguvu za kiume inazidi kuwa sugu kwenye jamii, ila mipombe nayo wanayokunywa inawamaliza.
Kukomaa mwili hakuna uhusiano wowote na 'nguvu za kiume', ukubwa wa pua si wingi wa kamasi.
 
Bora nipewe vyote nguvu na pesa.nikiambiwa nichague kimoja nitachagua nguvu.pesa haina maana Kama shughuli huna mwanamke atakukimbia tu.

Atapata mahitaji yote ya kifedha,kula vizuri,kulala vizuri,kuvaa vizuri.sasa kwenye mahitaji ya kimwili hapo ndipo utasaidiwa hadi na gardener
Si unatumia ulimi na vidole
 
Back
Top Bottom