Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Kuna star wa kifaransa aliimbaka ivi :> yaani akimaanisha PESA niyalazima sana kwenye mapenzi

mapenzi bila PESA nikusumbuana
 
Hapo kwenye punyeto ndio shida inapoanzia ukiweza kujidhibiti kutojichua, mishipa ya uume iwe imara, acha ulevi wa pombe kupita kiasi, fanya mazoezi kutembea au pushups, kula matunda na mlo kamili, halafu hauna stress plus uwe unapiga vitunguu saumu na tangawizi kila baada ya siku tatu kwa wiki, usisahau ndizi mbivu halafu uwe unatafuna pilipili manga na karafuu hizo nguvu ukizikosa basi una tatizo kubwa,
PUNYETO haina uhusiano na nguvu za kiume. Mm Sina demu najichua kila siku lakini nkiendaga shoo buguruni au Temeke wanaombaga poo. Hii fikra ya PUNYETO inatokeaga wapi?
 
Utaskia Miguvu wanayo maskini.
Hy mwenye pssa akatie mimba kwa akili Sasa na dada anataka Le manioc
 
Kwa iyo anagawa tu pesa bila kuwashughulikia🤣🤣

Hii dunia ina mambo sana jamani. Huwezi amini kila mtu anachangamoto yake .
 
Mkuu pombe mnaisingizia bure. Kama nguvu huna huna tu.
Hapana chief, pombe ina madhara mkuu, japo hayaonekani kwa haraka lakini sio poa, ukinywa kwa kiasi labda, japo sijui hicho kiasi wanachosema, ninachojua mwili unahitaji mapumziko mazuri.
 
View attachment 2345023

Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Burna Boy hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi.

Kwa mujibu wa Steflon Don, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya kuvunja uhusiano wake wa kimapenzi na staa huyo mkubwa barani Afrika.
Steflon Don alisema;
Nilimwacha Burna Boy kwa sababu hakuweza kunipa ujauzito na kubwa zaidi hakuwahi kuniridhisha kitandani kwa sababu performance yake kitandani ni mbovu sana.”

Baada ya kauli hiyo ndipo Burna Boy akajibu yafuatayo;
Ni kweli sina nguvu za kiume (jogoo hawiki) na siwezi kumpa ujauzito mwanamke, lakini nina pesa kwangu hii inatosha…”
Girls ain't nothing but problem -Dj Jazzy Jeff and Fresh Prince
 
Back
Top Bottom