Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Hapo kwenye punyeto ndio shida inapoanzia ukiweza kujidhibiti kutojichua, mishipa ya uume iwe imara, acha ulevi wa pombe kupita kiasi, fanya mazoezi kutembea au pushups, kula matunda na mlo kamili, halafu hauna stress plus uwe unapiga vitunguu saumu na tangawizi kila baada ya siku tatu kwa wiki, usisahau ndizi mbivu halafu uwe unatafuna pilipili manga na karafuu hizo nguvu ukizikosa basi una tatizo kubwa,
Pombe inasingiziwaga tu labda hayo mengine!
 
Mleta mada wewe naye kilaza tu, kwa nini unaelezea stori upande mmoja tuu? hujaelezea kwamba Burna na Steflon waliachana kwa ugomvi.

Baada ya hapo Burna akamtungia wimbo Steflon unaoitwa "Last Last" ambao ni hit song haswaa.

Kwenye huo wimbo intro yake inasema;​
"E don cast
Last, last
Na everybody go chop breakfast (na everybody go chop breakfast)
Have to say bye-bye, oh
Bye-bye, oh

To the love of my life".

Sasa hako ka mstari ka "Na everbody go chop breakfast" unamaanisha kwamba "Steflon ni malaya anayegawagawa kirahisi ndiyo maana alimuacha".

Baada ya hapo ndo Steflon akaamua kumchafua jamaa kwa kumsingizia kwamba "Hajiwezi Kitandani" ambayo ni tuhuma za kawaida kutoka kwa mademu pindi wanapoachwa.

Nimesikiliza huu wimbo mpaka mwisho naweza sema huyu Mpumbavu Burna Boy kaimba wimbo mzuri sana. Kimsingi huyu mshenzi ANAJUA
 
Hapo kwenye punyeto ndio shida inapoanzia ukiweza kujidhibiti kutojichua, mishipa ya uume iwe imara, acha ulevi wa pombe kupita kiasi, fanya mazoezi kutembea au pushups, kula matunda na mlo kamili, halafu hauna stress plus uwe unapiga vitunguu saumu na tangawizi kila baada ya siku tatu kwa wiki, usisahau ndizi mbivu halafu uwe unatafuna pilipili manga na karafuu hizo nguvu ukizikosa basi una tatizo kubwa,
Mkuu hapo ni kuacha tu punyeto. Hayo mengine ikiwemo pombe hayana madhara sana...
 
Bora nipewe vyote nguvu na pesa.nikiambiwa nichague kimoja nitachagua nguvu.pesa haina maana Kama shughuli huna mwanamke atakukimbia tu.
Atapata mahitaji yote ya kifedha,kula vizuri,kulala vizuri,kuvaa vizuri.sasa kwenye mahitaji ya kimwili hapo ndipo utasaidiwa hadi na gardener
Kwani tunaishi kwaajili ya wanawake tu?
 
Nimesikiliza huu wimbo mpaka mwisho naweza sema huyu Mpumbavu Burna Boy kaimba wimbo mzuri sana. Kimsingi huyu mshenzi ANAJUA
Jamaa ni fundi haswaaa, na mwaka huu kapiga shows za kufa mtu, anapigia kwenye ma arena tuu, na kote ni sold-out.

Katoa bonge la album ambalo ameshirikisha manguli kama wote kutoka USA.
 
Back
Top Bottom