Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Kuna mtu mmoja tuliwahi bishana humu, anasema heri kutokuwa na nguvu za kiume (jogoo hawiki) ila uwe na pesa. Sikumbuki ni nani.

Nilishangaa sana mpaka nilihisi huenda si rizki.
Hapana mkuu, inawezekana alikuwa kwenye hali ngumu sana ya umaskini ndio maana akayasema hayo, akishapata pesa nadhani ataona umuhimu wa nguvu za kiume na uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito.

Hapo hata kama ni kweli huyu msanii hana nguvu za kiume, basi wakati huu anazitamani sana.
 
Na wewe umechagua Nini.
Juzi platinum pale mapinga kalikuja kashoga kimoja Kama mwanamke.si nikamtani.jana siku nzima napata mikosi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee unataka kumpangia?? Mwenzako hela ndo kaona cha muhimu na sio nguvu za kiume, sasa nini weee??

Tozo zinawavuruga vibaya mnooo. Uwiiiiiiih
 
Na wewe umechagua Nini.
Juzi platinum pale mapinga kalikuja kashoga kimoja Kama mwanamke.si nikamtani.jana siku nzima napata mikosi.
Hapa tuna mjadili Burna Boy, usitake kuhamisha mada lol.

Sasa hayo ya kumtamani shoga uliyekutana nae huko Uraiani mie hayanihusu kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukute hata usha date nae, tops msiojikubali huwa mnakua bitter sana.
 
Kwa sababu wewe ni mwanamke na haujapata hela ndo Mana Leo unaona Bora mwanaume mwenye hela lakini Hana nguvu.nakuhakikishia ukishampata LAZMA UTAKUJA KUMSALITI TU.
Ni rahisi sana kwa Mwanamke kusema bora pesa kuliko nguvu za kiume kwakuwa wanawake wote wanaangalia kesho yao zaidi, hata akiamua kuolewa na wewe jua kabisa swali la kwanza alilojiuliza kabla ya kukubali hiyo ndoa linahusiana na ulinzi wa kesho yake(pesa na maisha mazuri ya kesho na baadae) hata Mrs Lissu hili swali alijiuliza pia.

Kutakuwa na kijana mwingine pembeni kwaajili ya kufanya kazi inayohitaji nguvu za kiume.
 
Kuna trick burna boy kaicheza hapa. Ukiachana na mwanamke atakupa kashfa zote. Jamaa angejitetea mbona nguvu ninazo hakuna ambaye angeamini.

Ila baada ya kuachana na huyo manzi kuna mamanzi wa kutosha watamtafuta mchizi ili wahahakikishe hizo nguvu zipo au la. Ila watakachokipata ndio watakuwa ni mabalozi wa kumtetea mchizi.

Akiki mingi sana.
Hii ni upande wa pili wa shilingi.
 
Ni rahisi sana kwa Mwanamke kusema bora pesa kuliko nguvu za kiume kwakuwa wanawake wote wanaangalia kesho yao zaidi, hata akiamua kuolewa na wewe jua kabisa swali la kwanza alilojiuliza kabla ya kukubali hiyo ndoa linahusiana na ulinzi wa kesho yake(pesa na maisha mazuri ya kesho na baadae) hata Mrs Lissu hili swali alijiuliza pia.

Kutakuwa na kijana mwingine pembeni kwaajili ya kufanya kazi inayohitaji nguvu za kiume.
Sawa umeshampa hela. Haja zake za kimwili anazimaliza Nani?
 
Duuuh, hilo la kutoweka ujauzito inaweza isiwe shida sana, maana wanaweza hata wakaasili mtoto, ila kutogonga mzigo vizuri, jamaa inabidi akomae na vitunguu saumu na matangawizi, kujitetea kwamba ana hela haitoshi.
Hawaogopi
 
Kuna kulogwa pia ndugu yangu,
Au punyeto nyingi

Hapo kwenye punyeto ndio shida inapoanzia ukiweza kujidhibiti kutojichua, mishipa ya uume iwe imara, acha ulevi wa pombe kupita kiasi, fanya mazoezi kutembea au pushups, kula matunda na mlo kamili, halafu hauna stress plus uwe unapiga vitunguu saumu na tangawizi kila baada ya siku tatu kwa wiki, usisahau ndizi mbivu halafu uwe unatafuna pilipili manga na karafuu hizo nguvu ukizikosa basi una tatizo kubwa,
 
Back
Top Bottom