Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Wabongo kwa kuendekeza ngono !!
Yaani mtu na akili zake anasema eti heri nguvu za kiume kuliko Pesa. Hapo hapo anaomba elfu moja kwa mwenzake ili abeti.

Kuna watu wamefanya hii dunia iwe bora kabisa na hawakuwa na watoto wala mke na wengine walikuwa ni mahanithi kabisa. Huu ujinga ndiyo unasababisha vijana wetu wawekeze kwenye vumbi la Congo badala ya kuwekeza kwenye masomo au biashara.

Ukisikia wanasema "kazi kazi", jua wanazungumzia mambo ya ngono na siyo kazi ya kuwaletea kipato.
 
Nenda kamuone Daktari upatiwe matibabu unaweza kupona. Kukosa nguvu za kiume kunachangia sana mtu kukurupuka hovyo hovyo kama ulivyofanya wewe.

Pesa bila nguvu za kiume yafaa nini?
 
YES! Naunga hoja! Tuna mavijana majinga sana kama Taifa.
 
Wacha mambo zako pesa unailinganisha na mambò za ajabu? Nguvu za kiume ndo kitu gani?
Chukulia mko wawili tu duniani; anakupa hela nhingi utakavyo, ila anashindwa kukusugua, utafanyaje?
 
Ukishaona unakula hayo mapilipili manga na mavitu hayo uliyoyataja kiasili huna nguvu za kiume mwanaume aliyekamilika haitaji kula hayo mavitu yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…