Burudani: Tundu Lissu akisakata rhumba kufurahia ushindi wa Mwabukusi

Waliingia kilema cha maisha wengine wameishakufa mbolea na mmoja nasikia yuko mahututi. Mwacheni Mungu aitwe Mungu
 
Wenzio akina Mudawote na Etwege ufahamu umeshaanza kuwarudia, wapumba.vu mmebaki wachache humu, Ni wewe, ChoiceVariable, Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa
 
Police nao ni tawi la ccm kipi cha ajabu
 
Kwa Lissu yupo hapo kama kiongozi wa CDM au wakili ambaye ni mwanachama wa TLS?
Yuko hapo kama kiongozinwa chadema, ndio maana alianza kupiga kampeni za mambo ya ngorongoro
 
Amenikumbusha mwaka 47 baada ya kuvuna mazao na kuyauza, hapo Mfukoni una kibunda cha maana....

Ni mwendo wa kuruka Majoka tu hadi monie

Bora tumezeeka sasa πŸ€—
Hayo majoka ukiyaruka hayakung'ati? 😝

Huo mwaka 47 ni wa mchongo.
 
Lissu ni mtu na nusu
 
Propaganda hizo zimeanza baada ya mgombea wa chama kukataliwa.
 
Sjui inakuaje mbaya ikiwa mdomo wa CDM lkn safi ikiwa domo la ccm. Na inaonekana haina ubaya ingekua act, nccr, cuf au kinginecho. Nlitegmea watu kua na +ve outlook ktk mambo haya na kpendkeza mambo tofauti na haya ya kiumbea-umbea, watu wapendekeze ya kimaendleo zaidi
 
Wale waliotaka kumtanguliza wako wapi leo?? Dunia ya Mungu hii tuishi kwa amani na upendo. Hakika siku moja tutacheza dance kama Hilo kushangilia kuondolewa kwa mkoloni mweusi.
HAKI AMANI NA UPENDO NDIYO MISINGI MIKUU YA MAENDELEO
 
Kuruka Majoka ndiyo nyie Siku hizi mnaita "Disko"

Enzi zetu ilikuwa tunaruka Majoka hasa πŸ€—

Ngoja nitafute picha yangu ya Mwaka 47 nikiwa naruka Majoka labda ndiyo utaamini 😜
Siku hizi tunaita disko au mziki mnene huku tukivuta shisha. πŸ˜…

Nangoja hiyo picha ya mwaka 47.
 
Siku hizi tunaita disko au mziki mnene huku tukivuta shisha. πŸ˜…

Nangoja hiyo picha ya mwaka 47.
Last week nilienda na Bibi yenu pale Norasco Pub Kigamboni kuruka Majoka, akajikuta ana shangaa kuona Vijana wanavyovuta Shisha

Nikamkumbusha mbona na Mimi navuta Kiko, akasema wewe hutoi moshi mwingi kama wale πŸ˜œπŸ™Œ

Kuruka Majoka kuendelee ....
 
Kama mwaka 47 ulishaanza kuruka majoka achana na kuvuta kiko babu, we vuta hewa.

Bibi anashangaa wazee wa 2060 wakitolea moshi wa shisha masikioniπŸ˜‚
 
Kama mwaka 47 ulishaanza kuruka majoka achana na kuvuta kiko babu, we vuta hewa.

Bibi anashangaa wazee wa 2060 wakitolea moshi wa shisha masikioniπŸ˜‚
Sijui kama nitaweza kuacha kuvuta Kiko Mkuu, maana nina miaka 50 sasa navuta πŸ˜œπŸ€—


Vijana wa sasa wanaona raha sana kuvuta hizo Shisha, ila I bet lazima zitakuwa na side effects nyingi hapo baadaye

Imagine mtu anavuta Shisha halafu anatolea Moshi Puani/Mdomoni/Masikioni πŸ™Œ
 
Kwani kiko huwa mnaweka nini huko ndani?

Hazina madhara kiafya?
 
Inakuuma nini we andazi???
Kwani nchi hii ni ya CCM tu ???
 
Pafu moja ya shisha ni sawa na pakiti 20 za Sigara
 
Huyo Lissu amshukuru Mbowe bila mbowe saa hizi asingesakata hilo RHUMBA
🀣🀣🀣
Watu mna roho mbaya aisee , Tunamuamini na kumtegemea Muumba sio Binadamu mwenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…