Waliingia kilema cha maisha wengine wameishakufa mbolea na mmoja nasikia yuko mahututi. Mwacheni Mungu aitwe MunguHakika furaha haijifichi. Baada ya kunfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika.
Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki!
View attachment 3060390