Hapana. Ni mimi mdau mmoja fulani hivi. Soma post zangu za nyuma ndio utajua siyo Hashimu Ibwe.Hashimu Ibwe una mbinu nyingi sana za kuitangaza azam.
Ni kweli. Yaani kama wikendi ya jana wamerusha mpaka kupitia UTV, palikuwa pamechangamka haswa. Wao waongeze channel na wajitahidi waoneshe EPL hapo watakuwa wamemaliza kazi.Ila azam waongeze chanel za mpira bad hazitoshi mechi nyingi hawazirushi
support local teamsKila nikitazama mechi za nje huko ulaya Huwa najiuliza kipi kinatufanya tutambiane eti Simba na Yanga wakati mpira wanaocheza ni duni kabisa.
Mechi ya Athletic Bilbao na Atletico Madrid ilikuwa ya kasi sana. That's real football 💪
Barcelona itakuja kuwa tishio ulaya na Dunia nzima, Ina vijana wengi wadogo U20 na wanashambulia kama nyuki.La liga Match zao camera safi sana nimeipenda sana hasa mechi ya jana ya barca
Nafurahi sana kwa sasa barca tumeanza kurudi kama mwanzo na bila uwepo wa messi tumekubali maishaBarcelona itakuja kuwa tishio ulaya na Dunia nzima, Ina vijana wengi wadogo U20 na wanashambulia kama nyuki.
Ni sawa lakini tunajivunia mpira duni sana. Wenzetu hata ukiwafunga 2 mpaka dakika za 80 unashangaa wana equalize na kuongeza la ushindi.support local teams
Tuseme itarudisha ile heshima yakina messi, iniesta xavi nk lamasia tena inaleta balaa..?Barcelona itakuja kuwa tishio ulaya na Dunia nzima, Ina vijana wengi wadogo U20 na wanashambulia kama nyuki.
Tunajivunia tulicho nacho mkuu, ukienda ghana, nigeria huko wanatamani kuwa kama sisi. Maaana wao weekend mechi za ulaya watu wapo katika screen soka lao la ndani mashabiki wa kuhesabikaNi sawa lakini tunajivunia mpira duni sana. Wenzetu hata ukiwafunga 2 mpaka dakika za 80 unashangaa wana equalize na kuongeza la ushindi.
Hiyo ndiyo kandanda ya ushindani.
Madrid kwa hizi mechi za mwanzo limecheza jina lao tu. Uwezo mdogo na hakuna muunganiko wa kitimu.Nafurahi sana kwa sasa barca tumeanza kurudi kama mwanzo na bila uwepo wa messi tumekubali maisha
Hawa vijana watakuja kusumbua sana chamsingi tusibadili makocha hovyo
Kule Madrid wamejaza mastaa sana kiasi kwamba hakuna maelewano
Ni zaidi ya hao, it's a promising team!Tuseme itarudisha ile heshima yakina messi, iniesta xavi nk lamasia tena inaleta balaa..?
aisee ni kwa kif7rushi cha tsh ngapi unacheki ligi zoteKwakweli Azam Tv Wamefanya la maana sana kuonyesha mechi za ligi 6 siyo kazi ndogo, sahivi mechi kali zote za Bundesliga, Laliga, serie A , ligi ya kina CR7, League 1 ya France na NBC zote unaziona jana nilikua naangali game kali ya Barcelona ila Tanesco wakakata umeme ulivyorudi mtu kashachapwa chuma 7 safi
Elfu 28aisee ni kwa kif7rushi cha tsh ngapi unacheki ligi zote
Endeleeni kujifarijiNafurahi sana kwa sasa barca tumeanza kurudi kama mwanzo na bila uwepo wa messi tumekubali maisha
Hawa vijana watakuja kusumbua sana chamsingi tusibadili makocha hovyo
Kule Madrid wamejaza mastaa sana kiasi kwamba hakuna maelewano