Burundi kurudisha wanajeshi wake waliosalimika

Nani atawaondoa? Hakuna mwenye uwezo huo.
Trump anaanza na Ayatolah kwenye kichwa cha Nyoka hawa Houthi wakisikia Ayatolah kanyongwa na wao wanaingia mitini kwasababbu silaha zitakuwa hawapati
 
Hata hivyo Wahouths wapo kimya kidogo cku hizi. Wanajitafakari itakavyokuwa siku na saa isiyojulikana, Trump atakapoamua kuliamsha dude.
 
Trump anaondoka na Ayatolah kwasababu mzizi wa fitina ni Ayatolah.
 
Wanachama wa EAC wapo vitani...tena wengine wanagombana wao kwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…