Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda

Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda

PK ana mashushu wanahudumu ndani ya serikali zote za nchi za maziwa makuu.kumzingua Kagame ni kupoteza muda tu.
kwa nchi kama Burundi walitakiwa kuwa karibu na Kagame ili awape mbinu za kuimarisha Burundi kijeshi na kiuchumi na sio kufunga mpaka.
 
Hukielewi unachosema!
pia huelewi mgogoro
na pia usamehewe maana unachoshauri ni sawa na kushauri swala aishi vizuri na simba[emoji15][emoji15]
 
Mkuu Wanyarwanda pande hizo ni watemi balaa and because majority have money huwafanyia sana mwenyeji vitendo vya kidhulumati na si unajua tena vyombo vyetu vya ulinzi mbele ya asali?
So wengi huishia kushitakia kwa Mungu na kuishi kwa hofu.
Watemi sana hao watu
Wanyarwanda wasio raia watawanyanyasaje Watanzania kwenye ardhi yao?!
 
PK ana mashushu wanahudumu ndani ya serikali zote za nchi za maziwa makuu.kumzingua Kagame ni kupoteza muda tu.
kwa nchi kama Burundi walitakiwa kuwa karibu na Kagame ili awape mbinu za kuimarisha Burundi kijeshi na kiuchumi na sio kufunga mpaka.
Kuamini ujinga kama huu ni ukilaza wa kiwango cha juu kabisa.

Huyu huyu Kagame ambaye aliambiwa na Kikwete asilete ujuaji atamshughulikia bila kupepesa macho na akanywea?

Ama umesahau kipindi cha JK alitaka kukavamia kanchi hako sema tu PK akanywea ndiyo ikawa almanusura kwake.
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ameshindwa kuitisha Kikao kwaajili ya ku-solve huo mgogoro au anataka yatokee mauaji ya Kimbari kama ya mwaka 1994 ndiyo atafurahi?
anasubir US Alete kibunda
 
Kuna siku moja alikuja mnyarwanda ofsini nimfanyie kazi furani wakati namfanyia akaanza kujisifu na kuiponda tz kua ni nchi kubwa lakini wananchi wake ni wajinga aliponda sana mpaka viongozi wetu uvumilivu ukanishinda nilimchana sana kama wao wana akili kwa nn wameishia kua na ka nchi kama uchochoro kuna maneno ya kejeli kibao nilimpa mpaka nikaona kawa mpole.Wale jamaa wana dharau sana.
 
Kuamini ujinga kama huu ni ukilaza wa kiwango cha juu kabisa.

Huyu huyu Kagame ambaye aliambiwa na Kikwete asilete ujuaji atamshughulikia bila kupepesa macho na akanywea?

Ama umesahau kipindi cha JK alitaka kukavamia kanchi hako sema tu PK akanywea ndiyo ikawa almanusura kwake.

ni lini alitaka kuvamia ?? acha mihemuko na uongo!!

Pk alivotoa ile kauli ya vitisho ilimtisha kikwete kuona sehemu za kigoma na kagera zinaweza zikawa kama Kivu !! ndio akaenda kuwafurusha wanyarwanda wote maeneo hayo
 
Back
Top Bottom