MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
- Thread starter
- #41
Hahahahahaha unadhani hao wanaenda bure! Hapo raisi lazima anapata chake mapemaHao maskini wanaacha kujenga Nchi Yao wanahangaika huko DRC.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha unadhani hao wanaenda bure! Hapo raisi lazima anapata chake mapemaHao maskini wanaacha kujenga Nchi Yao wanahangaika huko DRC.
Tpdf ikitazama tu hili, itakua hatari kwa bandari ya dar,hivyo uchumi wa tz,ukizingatia kuna reli inataka jengwa mozambique-zambiaHapa nahisi harufu ya jeshi la nchi furani likizunguuka kupitia Kivu kusini na kuipa company RED-TABARA. Na Hapo mpaka Bujumbura pafupi sana
Nope, serikali iliyo madarakani inalinda madaraka yakeHahahahahaha unadhani hao wanaenda bure! Hapo raisi lazima anapata chake mapema
Burundi wana wanajeshi mpaka SomaliaHivi Burundi nayo ina jeshi lake, au wamekopa kutoka Congo wakawavalisha sare mpya?
Hata Burundi Wana uzoefu wa vitaRwanda haina uwezo wa kuipiga Burundi, hilo hata Rwanda wanajua.
je nan atakuwa kawaruhusu hao wanajeshi w bwana Slim ? Burundi wwna terms ba DRCIkiwa wazi hivyo basi mda si mrefu na wale wa upande mwingine watafanya waziwazi bila kificho kama sasa
DRC inadili na mgeni ambae hatak fuata taratibu za kuwepo ndani ya DRCView attachment 3227593
Hao wanajeshi wa Burundi wapo huko kitambo ila DRC haisemi kwa kuwa wanapigania interests za Wahutu pamoja na waasi wa wa Rwanda waliojificha DRC.
usalama piaNope, serikali iliyo madarakani inalinda madaraka yake
Rwanda kwa ukanda huu huwezi kuibeza kwa sasa, mission zake huko Msumbiji ,CAR zinajieleza.Rwanda haina uwezo wa kuipiga Burundi, hilo hata Rwanda wanajua.
Wakati mwingine wingi wa wanajeshi hauashilii ushindi wa vita. Japo huko walishatolewa.Burundi wana wanajeshi mpaka Somalia
Hapo taarifa zikiwa za kweli ndo watu wanapigana mfumo wa hatuna la kupoteza, na hakuna cha mazungumzo wala nini, mpaka tufikie tunachokitaka.Rwanda kwa ukanda huu huwezi kuibeza kwa sasa, mission zake huko Msumbiji ,CAR zinajieleza.
Japo hapo Drc imelipa gharama kuiteka Goma....ila kuiteka Goma katikati ya majeshi 20,000 kutoka UN na SADC sio kazi ndogo.
Aisee hili nililisema kuna jamaa lilibweka vibaya mno ,nikamwambia Mrundi ni mpiganaji mzuri sana na kona zote hizo nae anazijua lakini pia hana maadui wa ndani wa kivile kama ilivyo kwa Pk,Rwanda haina uwezo wa kuipiga Burundi, hilo hata Rwanda wanajua.
Nchi ya Burundi, inayohusika na vita vinavyoendelea mashariki mwa Congo, kupitia makubaliano ya ushirikiano kwa mambo ya kisalama, kuanzia Septemba 2023, na hili jambo liliifanya Burundi kuwa mshirika mzuri kikanda. Burundi imeweza kupeleka nchini Congo wanajeshi wapatao elfu 10 kulisaidia jeshi la FARDC kukabiliana na M23, waasi wanaoungwa mkono na Rwanda.
Kwa siku mbili sasa, kikosi cha 22, kinakusanyika mpakani Gatumba, kwa maandalizi ya kuingia Kivu kusini. Hili litafanya vikosi 16 vya jeshi la Burundi kuwa nchini DRC,ambapo inakadiliwa watakuwa kati ya elfu 8 na elfu 10. Wanajeshi hao watakuwa na kazi ya kulinda barabara zinazoingia Bukavu mjini, lengo likiwa kuzuia M23 kuingia mjini humo.
Source RFI/Afrique
Hili linafanyika wakati nchi za SADC zinajiandaa kuondoa wanajeshi wake nchini humo, kuanzia Malawi iliokwishatoa Tangazo, Afrika kusini na yenyewe ilionesha nia ya kuwaondoa wanajeshi wake.
Unapeleka. Wenzetu hao washazoea mikimiki hivyo Wana vikosi ready.Hivi, kweli inawezekana raisi wa nchi apeleke wanajeshi elfu kumi vitani nchi nyingine? Hapa kuna watu wanaenda kupimana uwezo si bure.
Watu humu wanaichukulia poa burundi yenye backup ya TZ katika nyanja za kijeshiRwanda haina uwezo wa kuipiga Burundi, hilo hata Rwanda wanajua.
Burundi ikiamua kuingia vitani na Rwanda inawaleta FDRL ambao huwa inawafundisha na kuwajumuisha vitani, na wao ni wengi na wana impact kubwa kuliko waasi wa Burundi watakaoungwa mkono na Rwanda.Aisee hili nililisema kuna jamaa lilibweka vibaya mno ,nikamwambia Mrundi ni mpiganaji mzuri sana na kona zote hizo nae anazijua lakini pia hana maadui wa ndani wa kivile kama ilivyo kwa Pk,
Ambapo kwa vyovyote vile Chigali ikianza kupigwa direct wataibuka watu wengine hatutajua wametoka wapi kumshindilia vizuri Pk
Unajua lakini Tshisekedi ni mtoto wa nani? Huu uongozi wa kurithi nao shida.Unapeleka. Wenzetu hao washazoea mikimiki hivyo Wana vikosi ready.
Nawaza hivi Rais wa Congo DRC alivyoingia madarakani alishindwa kweli kuunda Jeshi pale mwanzoni.
Wataalamu wapo humu. Inachukua muda Gani kumpika Mwanajeshi akaiva kabisa kabisa. Yaani kuanzia 0 anapovuliwa uraia Hadi awe let say commando.
Hivi alishindwa kweli???!!???
Unatakaje madaraka kwenye nchi kama DRC halafu huna plan na unajua hapo ni muda wowote wanakiwasha.
Namsapoti Tshisekedi kimawazo na kimatendo lakini namwona ana kasoro za viongozi wengi wa Afrika, Kung'ang'ania vitu usivyoviweza. Kama Mama Fulani anavyokazania kuongoza Boma.
Plan nzuri ilikuwa akiingia madarakani anaivuta Tanzania, South Africa, Zimbabwe and the like kisha anaomba wamsaidie kuunda kikosi kazi yaani special force ya kupigana na waasi tu wakati wanajeshi wengine wakilinda mipaka.
Angelipa nchi hizo hata kwa dhahabu. Sasa ivi angekuwa na Jeshi.
Anyway, vita sio nzuri tuiombee CONGO DRC.
Achana na backup ya Tanzania. Ikitokea Burundi na Rwanda zinapigana Tanzania itakuwa neutral.Watu humu wanaichukulia poa burundi yenye backup ya TZ katika nyanja za kijeshi
Lini ulisikia M23 wamepigana na UN forces?Rwanda kwa ukanda huu huwezi kuibeza kwa sasa, mission zake huko Msumbiji ,CAR zinajieleza.
Japo hapo Drc imelipa gharama kuiteka Goma....ila kuiteka Goma katikati ya majeshi 20,000 kutoka UN na SADC sio kazi ndogo.