Burundi yatuma kikosi cha waokoaji Uturuki, nimejifunza kutoa ni moyo

Burundi yatuma kikosi cha waokoaji Uturuki, nimejifunza kutoa ni moyo

Hio ni networking, anajenga network na reputation kwa watu wake! Kesho na keshokutwa ni rahisi vijana wa nchi yake kuwa recommended kwenye international position wakati sisi vijana wetu wakiendelea kukimbizana na bahasha za kaki kutwa kucha!

Hakuna kitu kizuri kama Exposure, asikudanganye NTU aliyetoka ametoka TU, Mimi na wewe wa kwa Mtogole to Mbagala tutaishia humu humu
 
Mkuu umenena
 
Lakini pia inasaidia wao kwenda kujifunza mbinu bora za uokoaji.
 
Kindege cha abiria 50 tumeshindwa kujiokoa pale Bukoba sembuse kwenda uturuki! Ni kwenda kutia aibu tu huko!
 
Aaaaah kwani mtaalam Majaliwa yuko wapi, ndo mda wake huu wakupata phD ya uokozi ???!! Kama vp wampeleke tu akaokoe waturkey ......
 
Timu ya watu 10 kuokoa watu walioathirika kwa tetemeko ambapo Serikali ya Burundi imesema imepeleka msaada katika Nchi ambayo iliathiriwa zaidi

Zaidi ya watu 28,000 wamefariki katika Nchi za Uturuki na Syria kutokana na tetemeko.

Burundi imeeleza haikupeleka Syria kwa sababu kufikia maeneo yaliyoathirika ni vigumu.

------------------------------​

Burundi rescue sends team to earthquake-hit Turkey

Burundi has deployed a “specialised” team of ten to Turkey to help in the rescue and recovery operations following last week’s devastating earthquake.

“[They] will be deployed by Turkish authorities to areas where they need them most”, Burundi Foreign Affair Minister Albert Shingiro told the BBC’s Great Lakes on Sunday.

More than 28,000 people have died in Turkey and in neighbouring Syria where the earthquake hit.

A Burundian citizen who was in the hardest-hit city of Gaziantep was evacuated to the capital Ankara, Mr Shingiro said.

Burundi did not deploy a team to Syria because “access to affected areas is difficult,” but the minister added that “we sympathise with the suffering brotherly people of Syria.”

Source: Thekampalareport
 
Mbona kama Burundi na yenyewe inahitaji msaada!
 
Mkuu unauliza nchi yenu kwenda Uturuki kuokoa ulitakiwa ujifunze tokea 10 September 2011 kule Zanzibar ile Meli ya Spice Islander ilipozama na kuua.,
 
Back
Top Bottom