Nasikia nchi ya Burundi ya tatu umasikini Africa imepeleka msaada na waokoaji kule Uturiki kusaidia maafa ya tetemeko la aridhi lilio tokea j3 ilio pita.
Wazungu hawatupendi sisi wa Africa hata tukipata majanga ya aina yoyote, angalia DRC raia wanateseka kila siku ila wenyewe hataki liishe UN ni kama haipo, ila Ukraini imepewa kila aina ya msaada, Utruki kasha pewa zaidi ya $60bn, hi pesa ni kubwa hata kuliko GDP ya Tanzania, kuna raia moja wa Pakistan katoa $30m kwa ajiri ya msaada, wakati Africa yote inahitaji bn $50 tu kumaliza majanga ya food security. Wazungu ni wanafiki sanaa hawstupendi ila sie tuna jipendekeza.