isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Oke, maana sasa kila wilaya, mkoa na ofisi ya kiserikali inayo tovuti na barua pepe yake.Walibadilisha nafikiri 2014, ile ilikuwa ya 2012
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oke, maana sasa kila wilaya, mkoa na ofisi ya kiserikali inayo tovuti na barua pepe yake.Walibadilisha nafikiri 2014, ile ilikuwa ya 2012
Ni vyema zaidi wangeungana na Tanzania, kwani apo awali walikuwa wameungana na nchi gani?Wanaweza kuungana na Rwanda au Tanzania. Kama ilivyokuwa hapo mwanzo.
Rwanda-Urundi (Rwanda na Burundi) ilikuwa sehemu ya Tanganyika (Deutsche Ost Afrika).Nivyema zaidi wangeungana na Tanzania, kwani apo awali walikuwa wameungana na nchi gani?
not everyone is willing to take the risk!
NILIKUWA SIJASHTUKIA HILO, DAAH!! WARUNDI HATA OFFICIAL STATE EMAIL ADDRESS INAKUWA NA DOMAIN YA Gmail!!!!??? Bado wapo nyuma sana kama ndio hivyo.Nimecheka kuona ofisi ya rais wanatumia barua pepe ya Gmail.
Mmh kumbe Gmail ni ya kiboya Sana🙄🙄🤔Burundi,kule wapo kivyao vyao. They don't care. Huko mtu akipata bahati ya kutoka nje ya nchi ni huwa hawarudi Burundi. Mishahara yao sasa kiduchu acha kabisa. Brains nyingi wamekwenda Belgium,Ufaransa,USA n.k. Acha tu watumie Gmail.
Gmail wanaona siri zote za serikali ya Burundi.Mmh kumbe Gmail ni ya kiboya Sana🙄🙄🤔
Hasa mzungu wa kiume akitokea, ndio machadema wanalegeeeea, na kukenuakenua tuChadema akisikia Mzungu meno yote nje
wafuasi wa Mbowe mna akili za wastaniKwa hivyo lengo la uzi ni lipi haswa?
Yaani umeshindwa hata kueleza kidogo nini haswa kimejiri huko Burundi ili tu upate muda wa kuizungumza Chadema?
Kweli akili za kawaida sio jambo la kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna shida gani wakitumia Gmail..?Ona hii nililalamika hapa 2012 >>> Nimestushwa na Bunge La Tanzania - JamiiForums
HahahahahaMabeberu at work, waende kwao, wakasimuliane, this is Africa, welcome again.