Burundi yawapa masaa 72 maafisa watatu wa WHO kuondoka

Burundi yawapa masaa 72 maafisa watatu wa WHO kuondoka

Ila. Hiki kinchi kinakuaga na upuuz sana

stidy
Mkuu sio vyema kutoa lugha ya namna hiyo kwa nchi ya watu.

Tuikosoe lakini heshima yake ibaki pale pale. Kumbuka raia wake wanao msaada mkubwa kwa Tanzania.
 
Hivi Burundi huu ujasiri na kiburi huwa anakipata wapi ?
Maana kwa uchumi wake huwa nashangaa
 
Ndio, sababu nchi inakuwa inatoa nyaraka na confidential information za taifa kwa taifa jingine.

Gmail ni US 89% & Israel 11% Firm je umewahi kuona taasisi ya kiserikali ya nchi hizo inatumia Gmail?
Kama ni mambo ya udukuzi mawasiliano yoyote ya kielektroniki inadukuliwa tu
 
Back
Top Bottom