Burundi yawapa masaa 72 maafisa watatu wa WHO kuondoka

Nimecheka kuona ofisi ya rais wanatumia barua pepe ya Gmail.
Zamani nilikuwa kama wewe hadi nilipoona ile habari ya US na Russia kudukua emails na simu za Chancellor za Ujerumani nikagundua hata utumie nini haupo salama. Kama Urusi wanacheza na system ya upigaji kura ya US kweli kuna mtu anaweza kumcheka mwenzake? Kwenye za mambo ya teknolojia huku Afrika hatuchekani wote ni wasindikizaji.
 
Mkuu naelewa kwamba hakuna aliye salama lakini kitendo cha Burundi ni sawa na kila wanachofanya wanamtumia US Gov. | Ilhali wangeweka ugumu kidogo katika informacion access zao.
 
Back
Top Bottom