Bus kuwa VIP linatakiwa kuwaje maana kuna moja nimepanda hakuna tofauti kubwa na la kawaida

Nilipanda VVIP ya Ally's star bus, kutoka DAR to Mwanza nauli ni 170k
Aisee Ile bus Iko poa na unahudumia mambo mengi
Seat covers ziko poa
Choo safi
WiFi ina kasi
Azam tv
Unapewa bites za maana
Asbh tukiwa Shinyanga tulipiga break fast ya maana
Ally's star bus wako njema
 
1. Siti ya kukaa
2. Siti ya kukaa
3. Siti ya kukaa
4. Then blabla nyingine.

Muda mwingi kwenye basi tunaotumia Kwa kukaa. Sasa basi lina siti zaidi ya hamsini nalo kabisa linaitwa VVIP? Mtu unatakiwa Ukae Kwa uhuru unyooshe miguu ulale. Yaan siti iwe free
 
Nilipanda VVIP ya Ally's star bus, kutoka DAR to Mwanza nauli ni 170k
Aisee Ile bus Iko poa na unahudumia mambo mengi
Seat covers ziko poa
Choo safi
WiFi ina kasi
Azam tv
Unapewa bites za maana
Asbh tukiwa Shinyanga tulipiga break fast ya maana
Ally's star bus wako njema
Sipingi mkuu wako vzr sana. Pamoja na hayo siwezi rudia panda VIP tena labda kama nasafiri na family ila kama ni mwenyewe tu siwezi
 
Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.

Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za ziada wakaniambia kuna choo, Azam TV, msosi na Internet basi nikaona hii nzuri, nikalipa .

Kufika muda wa kusafiri kuingia ndani nikaona seat ziko tu kama za kawaida, baada ya muda tukaunganishwa Wi-Fi speed ya kobe, hakuna cha choo wala nini na tukawa tunasimama kwenye kuchimba dawa mavyoo ya nje . Wakazidi kutuona abiria ni wajinga kwa kutugawia biskuti za sh.mia na pipi mbili.

Kwa nini msiwe wakweli yaani biskuti za sh mia, pipi na WiFi ndio mnaita bus VIP na kuongeza nauli?

Kuongezeka kwa elfu 15 sio kubwa sana lakini kwa nini muongope kwa kutaja huduma za uongo?

Abiria sio wajinga.
Mimi sijaona la maana kama umeamua kulificha hilo bus maana hujawasaidia wengine watakaohitaji huduma ya VIP alafu wakaingia mkenge. Ile JF ya kufichua ujinga na udharimu imepotea kwa baadhi ya members naona.
 
Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.

Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za ziada wakaniambia kuna choo, Azam TV, msosi na Internet basi nikaona hii nzuri, nikalipa .

Kufika muda wa kusafiri kuingia ndani nikaona seat ziko tu kama za kawaida, baada ya muda tukaunganishwa Wi-Fi speed ya kobe, hakuna cha choo wala nini na tukawa tunasimama kwenye kuchimba dawa mavyoo ya nje . Wakazidi kutuona abiria ni wajinga kwa kutugawia biskuti za sh.mia na pipi mbili.

Kwa nini msiwe wakweli yaani biskuti za sh mia, pipi na WiFi ndio mnaita bus VIP na kuongeza nauli?

Kuongezeka kwa elfu 15 sio kubwa sana lakini kwa nini muongope kwa kutaja huduma za uongo?

Abiria sio wajinga.
Halafu TV yenyewe, kuna bus moja nilipanda kutoka Dar kwenda MZA ni mambo ya mapigano tu, yaani kwangu ilikuwa kero. Imagine una watoto, na wahudumu wa bus hawajali kwamba kuna watoto au la, wanachukuliwa watoto kama watu wazima kuweka hayo madudu yao tu safari nzima. Kwa nini mfano wasionyeshe mambo ya utalii, kilimo, uvuvi ziwani na baharini, na pia mbunga za wanyama tulizonazo, etc? Hopeless kabisa!
 
Panda gari la kawaida ili mradi liwe na sehemu ya kuchajia simu! Tembea na portable wi-fi hutajutia safari yako.
Mengineyo ni udanganyifu.
Utapigwa bei bila sababu ya maana!
 
Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.

Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za ziada wakaniambia kuna choo, Azam TV, msosi na Internet basi nikaona hii nzuri, nikalipa .

Kufika muda wa kusafiri kuingia ndani nikaona seat ziko tu kama za kawaida, baada ya muda tukaunganishwa Wi-Fi speed ya kobe, hakuna cha choo wala nini na tukawa tunasimama kwenye kuchimba dawa mavyoo ya nje . Wakazidi kutuona abiria ni wajinga kwa kutugawia biskuti za sh.mia na pipi mbili.

Kwa nini msiwe wakweli yaani biskuti za sh mia, pipi na WiFi ndio mnaita bus VIP na kuongeza nauli?

Kuongezeka kwa elfu 15 sio kubwa sana lakini kwa nini muongope kwa kutaja huduma za uongo?

Abiria sio wajinga.
Walikupa na maji ya ya sh 500 yako kwenye kichupa laini. 🤣🤣🤣🤣
Wafanyakazi wa humo kwenye mabasi, huwa wanafikiri kila abiria ni mshamba mmoja kutoka Meatu ndani ndani huko, na wakikupa pipi, wanategemea ua-appreciate.
 
Halafu TV yenyewe, kuna bus moja nilipanda kutoka Dar kwenda MZA ni mambo ya mapigano tu, yaani kwangu ilikuwa kero. Imagine una watoto, na wahudumu wa bus hawajali kwamba kuna watoto au la, wanachukuliwa watoto kama watu wazima kuweka hayo madudu yao tu safari nzima. Kwa nini mfano wasionyeshe mambo ya
utalii>(kwenye basi waupakie mt meru)??
kilimo>(yani watu waje na samadi hivi mtakaa kweli humo garin?) uvuvi ziwani na baharini> (nyangumi hawezi kufit humo na uzito wake...mamba atawatafuna wote), na pia mbunga za wanyama tulizonazo >(hapo sawa maana tuna tembo,chui,simba,mbuzi,mb dog,soggy dog na bonge la nyau,."),? Hopeless kabisa! >asante kwa kujua
 
Aise VIP unapewa pipi nimecheka, maana nilipanda gari ya kwenda Utete ,nakumbuka nilipewa pipi.
Gari ndani ni km banda la kufugia njiwa ,lkn pipi walipewa wote.
 
Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.

Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za ziada wakaniambia kuna choo, Azam TV, msosi na Internet basi nikaona hii nzuri, nikalipa .

Kufika muda wa kusafiri kuingia ndani nikaona seat ziko tu kama za kawaida, baada ya muda tukaunganishwa Wi-Fi speed ya kobe, hakuna cha choo wala nini na tukawa tunasimama kwenye kuchimba dawa mavyoo ya nje . Wakazidi kutuona abiria ni wajinga kwa kutugawia biskuti za sh.mia na pipi mbili.

Kwa nini msiwe wakweli yaani biskuti za sh mia, pipi na WiFi ndio mnaita bus VIP na kuongeza nauli?

Kuongezeka kwa elfu 15 sio kubwa sana lakini kwa nini muongope kwa kutaja huduma za uongo?

Abiria sio wajinga.
Kutoa biskuti na maji ya 300/=
 
Back
Top Bottom