BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
1130, 000 kwa watu wawili as seat mbili au ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1130, 000 kwa watu wawili as seat mbili au ?
Mkuu hao pia ni kilimanjaro gari ni number c mpaka sasa limechakaa mbaya mbovu sit zimechanika carrier zipo ovyo sana.Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.
Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za ziada wakaniambia kuna choo, Azam TV, msosi na Internet basi nikaona hii nzuri, nikalipa .
Kufika muda wa kusafiri kuingia ndani nikaona seat ziko tu kama za kawaida, baada ya muda tukaunganishwa Wi-Fi speed ya kobe, hakuna cha choo wala nini na tukawa tunasimama kwenye kuchimba dawa mavyoo ya nje . Wakazidi kutuona abiria ni wajinga kwa kutugawia biskuti za sh.mia na pipi mbili.
Kwa nini msiwe wakweli yaani biskuti za sh mia, pipi na WiFi ndio mnaita bus VIP na kuongeza nauli?
Kuongezeka kwa elfu 15 sio kubwa sana lakini kwa nini muongope kwa kutaja huduma za uongo?
Abiria sio wajinga.
Huo uhuni na choo cha mavi kipo au kukojoa tu na ufike kahama usiku wa saa4 to DSM?
Mkuu vp kuhusu kataramaAllys star ya kutoka mwanza to dsm na bm arusha to dsm hizo ndio kampuni bora kwa mwaka huu na huduma Bora
Pole . Bus za VIP zipo route ya Kaskazini pekee, huko pengine ni ubabaishaji tuKuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga.
Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za ziada wakaniambia kuna choo, Azam TV, msosi na Internet basi nikaona hii nzuri, nikalipa .
Kufika muda wa kusafiri kuingia ndani nikaona seat ziko tu kama za kawaida, baada ya muda tukaunganishwa Wi-Fi speed ya kobe, hakuna cha choo wala nini na tukawa tunasimama kwenye kuchimba dawa mavyoo ya nje . Wakazidi kutuona abiria ni wajinga kwa kutugawia biskuti za sh.mia na pipi mbili.
Kwa nini msiwe wakweli yaani biskuti za sh mia, pipi na WiFi ndio mnaita bus VIP na kuongeza nauli?
Kuongezeka kwa elfu 15 sio kubwa sana lakini kwa nini muongope kwa kutaja huduma za uongo?
Abiria sio wajinga.
Hapana sio hao mkuuMkuu usiniambie ni KATARAMA,maana hawa ndo habari ya mjini