Bus kuwa VIP linatakiwa kuwaje maana kuna moja nimepanda hakuna tofauti kubwa na la kawaida

Mkuu hao pia ni kilimanjaro gari ni number c mpaka sasa limechakaa mbaya mbovu sit zimechanika carrier zipo ovyo sana.

Kilimanjaro express hovyo sana aisee
 
Allys star ya kutoka mwanza to dsm na bm arusha to dsm hizo ndio kampuni bora kwa mwaka huu na huduma Bora
 
Pole . Bus za VIP zipo route ya Kaskazini pekee, huko pengine ni ubabaishaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…