Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,512
- 2,508
Lisu alipinga MARIDHIANO ili Mbowe aendelee kusota korokoroni,
Je,
hii inamaani wema ni akiba njema?š
Lisu alipinga MARIDHIANO ili Mbowe aendelee kusota korokoroni,
Je,
hii inamaani wema ni akiba njema?š
wafafanulie wadau kwa kina kwa kifupi gentleman,
Mbowe si mlimtukana kila aina ya tusi? Ht miezi 6 bd mmeshaishiwa pumzi? Lissu hafai kuwa kiongozi mkuu, hana uwezo yuko km litoto flani jinga. Baada ya kuwa m/kiti ndiyo nimemdharau jumlaNi busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!
Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!
Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
We ni bora usingezaliwaMbowe yupo mtegoni ...ndiyo shida ya kuwa kibaraka wa ccm sasa ajui afanye nini maana yupo katika dimbwi la laana ya usaliti na unafiki...hili tukio la kukamatwa kwa Lissu linaweza kummaliza kabisa Mbowe maana ana tatizika kulipinga maana akilipinga anakuwa kamuunga mkono Lissu na kuisaliti timu yake ya walamba asali na kuisaliti CCM na kuonekana kaunga mkono NO REFORM NO ELECTION
Natofautiana kidogo na wewe. Mbowe hawezi kujiweka mstari wa mbele katika sakata hili bila kibali cha wazi cha uongozi uliopo. Hii ni kwa sababu akifanikisha hawatasita kusema alihusika katika kukamatwa kwa Lissu. Wote tumeona jinsi wanayojaribu kumhusisha Mbowe na tukio lolote wasilopendezwa nalo. Kwa vile uongozi wa CDM haujawahi kutoa tamko kumtetea Mbowe ni ishara kuwa wanaunga mkono uchafuzi unaofanywa dhidi ya Mbowe.Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!
Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!
Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Mpende msipende, hamna mwanachama wa CDM sasa hivi mwenye political influence kama Mbowe. Pamoja na juhudi zenu za kumchafua hili halijabadilika. Kwa hulka yake unaweza kuta tayari anafanya juhudi nyuma ya pazia za kumpigania wakati nyinyi mnadhani watu wa kwenye mitandao watamnusuru.Don't worry brother.. Lissu will make it.. To the fullest.. In the admist of grief friends will show up without invitation..
Sidhani kama aliyeleta mada alishiriki katika kumtukana Mbowe. Lakini inawezekana nimechanganya majina.Mlivyokuwa mkitukana kwenye kampeni zenu mlikuwa mkimpa raha? Kwendeni huko
Kama huu ni mpango wa Samia na ccm , how do you exclude Mbowe from being an accomplice? Akae mbali na kesi hii!Don't worry brother.. Lissu will make it.. To the fullest.. In the admist of grief friends will show up without invitation..
Mimi naona kukamatwa Lissu hata Mbowe anaweza kuwa nyuma ya pazia. Toka Lisu akamatwe nimetembelea ukurasa wa Mbowe wa majukwaa mengi lakini hajaandika chochote. Inaonekana wazi Mbowe bado anataka kuiongoza Chadema kwa msaada wa CCM kama ilivyotokea kwa Lipumba vuNi busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!
Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!
Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Mwacheni mwamba apumzikeNi busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!
Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!
Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Wale wale!Mimi naona kukamatwa Lissu hata Mbowe anaweza kuwa nyuma ya pazia. Toka Lisu akamatwe nimetembelea ukurasa wa Mbowe wa majukwaa mengi lakini hajaandika chochote. Inaonekana wazi Mbowe bado anataka kuiongoza Chadema kwa msaada wa CCM kama ilivyotokea kwa Lipumba vu
Hakuna shida hapo, hizo kashkash za harakati za siasa. Apambane nazo kadri zinavyokuja, namuunga mkono aliyesema Mbowe aachwe apumzike kwani wana CHADEMA wenyewe waliona muda umefika apumzike. Lissu anaendelea kujifunza aliyopitia mtangulizi wake(Mbowe) na kichekesho unaweza kukuta wale waliokuwa wakipiga kelele Mbowe awaachie chama na akae mbali nacho kwani kuwa kwake karibu kunaweza kuleta negative energy ikawa ndiyo haohao wanadai sasa wanamuhitaji.You have a point! But kwenye shida tunasahau tofauti zetu na kuwa wamoja. Hii ni chadema Family!
Sasa ndio mmekumbuka kwamba ni family?Mlipokuwa mnapopowa na kumuita mwizi na dikteta uchwara hakuwa family?You have a point! But kwenye shida tunasahau tofauti zetu na kuwa wamoja. Hii ni chadema Family!
Nisinge zaliwa basi duniani angepungua mwenye akili mmoja kati ya wachache wenye akili ...hivyo unatamani nisinge zaliwa hili wapumbavu kama wewe muwe wengiššššWe ni bora usingezaliwa
Mbowe hayuko active kwenye siasa anapumzika mbona mnalazimisha awe active? Mlimwita majina yote mara Mugabe nkMimi naona kukamatwa Lissu hata Mbowe anaweza kuwa nyuma ya pazia. Toka Lisu akamatwe nimetembelea ukurasa wa Mbowe wa majukwaa mengi lakini hajaandika chochote. Inaonekana wazi Mbowe bado anataka kuiongoza Chadema kwa msaada wa CCM kama ilivyotokea kwa Lipumba vu
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!
Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!
Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Bora ajikaushe Kwa sababu Machadema yalivyo mashenzi yatamtukana na kumuita mnafiki.Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!
Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!
Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Yule ni mjasiriamaliMimi naona kukamatwa Lissu hata Mbowe anaweza kuwa nyuma ya pazia. Toka Lisu akamatwe nimetembelea ukurasa wa Mbowe wa majukwaa mengi lakini hajaandika chochote. Inaonekana wazi Mbowe bado anataka kuiongoza Chadema kwa msaada wa CCM kama ilivyotokea kwa Lipumba vu
Akijitokeza watamwambia mnafiki asipojitokeza watamwambia haya yote yameletwa na MboweNi busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!
Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!
Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini