Kuna mahali popote nimesema ni mara ya kwanza Lissu ameshitakiwa?Kwani ni mara ya kwanza Lissu kushitakiwa kwa makosa kama hayo?.
Ulitamani mh mbowe akalie kiti mpaka afiepo? au hoja Yako inajikita kwenye nini hasa? Kwamba Kwa sababu alishindwa uchaguzi halali basi aendelee kuzira kushirikiana na chama chake, kemea roho ya visasi ndani Yako.Ni kweli kabisa! Hata wewe una point nzuri sana! Na huo ndiyo ukweli! Lakini binafsi natamani akae pembeni kidogo zaidi ili kutoa fundisho kwa wanachadema na wengine!
Unajua hata Mh Muammar Ghaddaf pale Libya walimfanyia ushenzi, wakisahau yote mema aliyowatendea lakini leo hii kuna watu pale Libya wanajuta na kumkumbuka!
Ili kutoa somo na kuleta heshima miongoni mwetu, nashauri Mh Mbowe aendelee kuwa pembeni kwanza! Isitoshe, akikaa pembeni itawapa pia kundi la Mh Lissu nafasi ya kujifunza kushughulikia matatizo ya aina hii!
LEMA NI MAADUI WA MBOWEMNAMPA MBOWE UMUHIMU ASIOKUA NAO. KWAN WEWE UNA UCHUNGU ZAID KULIKO AKINA LEMA NA HECHE NA WENGINE??
WAO WANAJUA CHA KUFANYA NA KAMA WATAHITAJI MSAADA WA MBOWE WAO WANAJUA PA KULPATA HATA WEWE USIPOSEMA
Basi mbowe hana akili wala hekima kama anavyopewa sifa.LEMA NI MAADUI WA MBOWE
lisu hana hana adabu,INFLUENCE YA MBOWE NI KUBWA. ANAWEZA AKA PLAY ABIG ROLE LISU AKAACHIWA MAANA NI MASHITAKA YA MCHONGO
NAKUBALI YOTE ULIYOYAANDIKA NA MIMI NIMETUKANWA SANA HUMU KWA KUMKEMEA LISU , LEMA NA WENGINE WALIVYOKUWA KEJELI JUHUDI KUBWA ZA MBOWE NA CHADEMA. LISU KWELI MIMI SIMTAKI BAADA YA KUONA ALIVYOMBAGAZA/MTUKANA/MSINGIZIA/MKEJELI MBOWE.
LAKINI
KWA HILI TUSONGE MBELE TUINUSURU CHADEM LISU AACHIWE