BUSARA: Freeman Mbowe jitokeze kuonesha mshikamano wa CHADEMA katika Kesi inayomkabli Lissu. Kushiriki kwako kutaponya mgawanyiko uliojitokeza

Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
TAPELI Mbowe yuko nyuma ya haya yote yanayoendelea kwasasa, HAWEZI KUJITOKEZA POPOTE.
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Si mbowe pekee aliyewahi kuwa mwenyekiti wa chama aliyeko hai,
Mzee mtei yupo
Mabere Marando yupo.
Hao wote walistaafu kwa amani bila kuchafuana lakini hamuwataji ktk hili mnamtaka mbowe pekee ambaye mlimpaka matope na matusi kwa wingi..
Mwacheni apumzike kama walivyo wazee hao wengine
 
Lissu alipigania uongozi na alisema anataka Siasa za Jino kwa Jino na alishinda kwa kura halali na sisi ndio tunakata siasa hizi za kimapambano Mbowe aende asiende it's up to him.

Sisi tuna macho na tunaona na mapambano ndio kwanza yanaendelea na tunamuonya Lissu asije nayeye akaibukia Ikulu na kudanganywa kwa Asali.
 
Freedom Mbowe anahusika vipi?
Wamesema anawapotezea muda,ameondoka.
Na sasa Tundu Lissu habari yake kwisha. Yuko lock-up.
Which is a good thing,you know.
This person of frail health might just collapse on stage.
Sasa Tundu Lissu amewekwa ndani,Rais Samia anaweza kulala kwa amani tena.
Tundu Lissu yuko lock-up.
Badala ya kuuliza Tundu Lissu atafanya nini sasa ni bora uulize wewe utafanya nini sasa.
Tundu Lissu hawezi kufanya kitu sasa.
How can he do anything wakati yuko lock-up?
Wewe,you have to consider how to move forward
lock-up nonsense that is just a transist for hero
Lissu ameongea maneno mabaya kule Ruvuma.
Umeona hata wabunge wa Ruvuma hawakupendezewa na maneno yale.
Nilikwenda mazishi ya Kambona pale kwenye makaburi ya Kinondoni.
Nikatazama huku na kule,Good God,hakuwepo mtu pale kutoka Awamu ya Kwanza.
Isipokuwa alikuwepo Augustine
Naibu Waziri Mkuu.
lock-up nonsense that is just a transist for hero
 
Ni busara ya kawaida tu kuwa katika shida, watu wanasahau tofauti zao na kuwa kitu kimoja. Siyo siri kuna mgawanyiko wa makundi mawili..Lisu vs Mbowe, yako wazi ingawa nobody wants to acknowldge this, but deeds can evidence that!!

Jitokeze uwe msitari wa Mbele katika sakata la Kesi ya Lisu!

Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
ALIVYOKUWA ANAMTUKANA HADHARANI MMESHASAHAU SIYO MTU KATULIA ZAKE ANAKULA MAFAO MNAANZA KUMSUMBUA? MWACHENI LISSU ALE MATUSI YAKE ALIYOKUWA ANAKMTUKANA MBOWE ATAHENYA SANA MWAKA HUU HADI OCTOBER 26 NDIYO ANAACHIWA SASA HIVI ATAKAA HADI 24 APRIL IKIJA KUAHIRISHWA TENA KWA UPELELEZI KUKAMILIKA INAAHIRISHWA HADI MAY 25 INAKUJA KUTAJWA INAAHIRISHWA HADI JULY 10 INAKUJA TENA KUPELEKWA MAHAKAMA KUU INAAHIRISHWA HADI SEPTEMBER 20 INAANZA KUSIKILIZWA MASHAHIDI MPAKA OCTOBER 30 NDIYO ANASHINDA KESI ANATOKA
 
Muacheni Mh Mbowe apumzike! Amekitumikia Chama kwa uaminifu kwa miaka mingi na mkaona imetosha! Mkaona hana jipya! Msimsumbue. Ni maoni yangu.
Nb: Hata Mbowe alipitia hayo mateso. Uongozi si lelemama! Kama mlifikiri Mbowe ana enjoy kuwa kiongozi, sasa mmejua joto la uongozi!
Kwani ni mara ya kwanza Lissu kushitakiwa kwa makosa kama hayo?.
 
ALIVYOKUWA ANAMTUKANA HADHARANI MMESHASAHAU SIYO MTU KATULIA ZAKE ANAKULA MAFAO MNAANZA KUMSUMBUA? MWACHENI LISSU ALE MATUSI YAKE ALIYOKUWA ANAKMTUKANA MBOWE ATAHENYA SANA MWAKA HUU HADI OCTOBER 26 NDIYO ANAACHIWA SASA HIVI ATAKAA HADI 24 APRIL IKIJA KUAHIRISHWA TENA KWA UPELELEZI KUKAMILIKA INAAHIRISHWA HADI MAY 25 INAKUJA KUTAJWA INAAHIRISHWA HADI JULY 10 INAKUJA TENA KUPELEKWA MAHAKAMA KUU INAAHIRISHWA HADI SEPTEMBER 20 INAANZA KUSIKILIZWA MASHAHIDI MPAKA OCTOBER 30 NDIYO ANASHINDA KESI ANATOKA
NAKUBALI YOTE ULIYOYAANDIKA NA MIMI NIMETUKANWA SANA HUMU KWA KUMKEMEA LISU , LEMA NA WENGINE WALIVYOKUWA KEJELI JUHUDI KUBWA ZA MBOWE NA CHADEMA. LISU KWELI MIMI SIMTAKI BAADA YA KUONA ALIVYOMBAGAZA/MTUKANA/MSINGIZIA/MKEJELI MBOWE.

LAKINI
KWA HILI TUSONGE MBELE TUINUSURU CHADEM LISU AACHIWE
 
Si mbowe pekee aliyewahi kuwa mwenyekiti wa chama aliyeko hai,
Mzee mtei yupo
Mabere Marando yupo.
Hao wote walistaafu kwa amani bila kuchafuana lakini hamuwataji ktk hili mnamtaka mbowe pekee ambaye mlimpaka matope na matusi kwa wingi..
Mwacheni apumzike kama walivyo wazee hao wengine
INFLUENCE YA MBOWE NI KUBWA. ANAWEZA AKA PLAY ABIG ROLE LISU AKAACHIWA MAANA NI MASHITAKA YA MCHONGO

NAKUBALI YOTE ULIYOYAANDIKA NA MIMI NIMETUKANWA SANA HUMU KWA KUMKEMEA LISU , LEMA NA WENGINE WALIVYOKUWA KEJELI JUHUDI KUBWA ZA MBOWE NA CHADEMA. LISU KWELI MIMI SIMTAKI BAADA YA KUONA ALIVYOMBAGAZA/MTUKANA/MSINGIZIA/MKEJELI MBOWE.

LAKINI
KWA HILI TUSONGE MBELE TUINUSURU CHADEM LISU AACHIWE
 
Ushawishi wako unaweza kumnusuru Lisu na "mateso" haya na vyuma na risasi zake mwilini
Kwa hiyo, hauamini viongozi wa sasa wa chadema hatoshi kuongoza Chama ikiwemo kuunganisha wanachama? Walilia wembe...muwaache!
 
Mawananchi maoga bana...
badala uandamane kupinga Lissu kuonewa unamlilia Mbowe? Mbowe nimjomba?
Utakuta hujawahi hata kuichangia tone tone unajua kulilia wengine ndowafanye
 
NAKUBALI YOTE ULIYOYAANDIKA NA MIMI NIMETUKANWA SANA HUMU KWA KUMKEMEA LISU , LEMA NA WENGINE WALIVYOKUWA KEJELI JUHUDI KUBWA ZA MBOWE NA CHADEMA. LISU KWELI MIMI SIMTAKI BAADA YA KUONA ALIVYOMBAGAZA/MTUKANA/MSINGIZIA/MKEJELI MBOWE.

LAKINI
KWA HILI TUSONGE MBELE TUINUSURU CHADEM LISU AACHIWE
Bado kidooogo Lissu atafahamu siasa za Tanzania ni ngumu kuliko alivyokuwa akifikiri.
 
Back
Top Bottom