Busara janga la Corona: Wakati CCM wakiahirisha mikutano, CHADEMA wang'ang'ania kufanya mikutano

Kamanda nyie wenye akili hata choo cha ofisi mmeshindwa kujenga hapo ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
hayo waachie wana Ufipa.... tuongee ya kwetu hapa Lumumba mtaani.
tuombe Chadema wasijefanya kama sisi wataposhika ikulu tulivyojichotea kwa raha zetu pale hazina kwa ajili ya miradi na majengo ya chama chetu!
 
Acha ujinga we Mzee!! una wajukuu sasa watajifumza mimi toka kwako?
 
KUB anajua kucheza na akili za wale watu, naona amefanya kitu kinachoendana na invitation to treat😉. Akomalie hapohapo alafu ikifika siku ya tarehe husika anawatangazia watu wake kwamba anawaomba wasitishe kidogo atawatangazia tena lini waanze kazi
 
Umeharakisha mno, vitu vingine huhitaji rocket science kuvielewa ni just the use of common sense.
P
Wakudadavuwa huwa anausongo sana na Chadema, Post zake huwa ni zakuwalaumu Chadema, nilidhani baada ya Polepole kusema wamesitisha mikutano ya ndani na ya hadhara angehoji ni lini mikutano ya hadhara iliruhusiwa.
 
Upotoshaji upi kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba CDM wanataka waendelee na mikutano hata baada ya Waziri mkuu kusitisha mikusanyiko hiyo wakati unajua kabisa tamko la waziri mkuu limekuja baada ya tangazo la Mbowe.

Mada yako inawapotosha watu ambao hawajui yupi alianza kutoa tamko kati ya Waziri mkuu na Mbowe. Yaani unawaaminisha watu kuwa CDM wanapingana na serikali na hawajali afya za watanzania.

Coronavirus haina chama
 
tumia akili hata kidogo basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli kuwa CDM wanang'ang'ania mikutano.

Ikumbukwe kuwa tamko la Mbowe ilikuwa kabla ya katazo la mikusanyiko kwani mpaka jana jioni hata mh. Rais alikuwa akihutubia mikusanyiko.

Mh. Lema alishauri jana kuwa CORONA haichagui na Rais aache mikusanyiko.

Sasa imekuwaje mnashupaa na overtaken event?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…