Actions Speak Louder
Senior Member
- Nov 12, 2019
- 104
- 74
hakika sio busara hata kidogo kwa hali tuliyonayo mikutano HAIFAINdugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Nani ndugu yako ?Ndugu zangu,

ni dada huyo,shwonzwa wulianaHivi wakudadavua ni kaka? Mi najuaga ni dada siku zote ujue.
Heri nyie mnajuana nje ya JF
Ungejikita kwenye hoja kamanda acha kuwewesekaWakudadavuwa huwa anausongo sana na Chadema, Post zake huwa ni zakuwalaumu Chadema, nilidhani baada ya Polepole kusema wamesitisha mikutano ya ndani na ya hadhara angehoji ni lini mikutano ya hadhara iliruhusiwa.
Umemsikia John Mrema?Sio kweli kuwa CDM wanang'ang'ania mikutano.
Ikumbukwe kuwa tamko la Mbowe ilikuwa kabla ya katazo la mikusanyiko kwani mpaka jana jioni hata mh. Rais alikuwa akihutubia mikusanyiko.
Mh. Lema alishauri jana kuwa CORONA haichagui na Rais aache mikusanyiko.
Sasa imekuwaje mnashupaa na overtaken event?
Umenena vemahakika sio busara hata kidogo kwa hali tuliyonayo mikutano HAIFAI
Kumbe mikusanyiko ya kisiasa ilikuwa imeruhusiwa?Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
CCM wenzangu huwa mnatutia aibu kwa baadhi ya mambo ambayo huwa yapo bayana tusikidhalilishe chama kwa kuonesha umma wa watanzania kwamba CCM ina watu wajinga , umesha ambiwa kwamba mbowe alitoa tamko kabla ya waziri kutoa tamko sasa tukiendelea kulazimisha uongo ndio tunapo wapa credit upinzani waendelee kutushambulia nakutuona CCM hatuna watu wenye timamu.Tumia common sense kidogo tu
Haya waziri ameshatangaza corona ipo,mbona mpo kimya?
Maana yake mnataka watanzania wafe kwa kuambukizana
CCM hainawahi kuwa na mfuasi kichaaCCM wenzangu huwa mnatutia aibu kwa baadhi ya mambo ambayo huwa yapo bayana tusikidhalilishe chama kwa kuonesha umma wa watanzania kwamba CCM ina watu wajinga , umesha ambiwa kwamba mbowe alitoa tamko kabla ya waziri kutoa tamko sasa tukiendelea kulazimisha uongo ndio tunapo wapa credit upinzani waendelee kutushambulia nakutuona CCM hatuna watu wenye timamu.
Kumbuka hata mwenye kiti wetu wa chama taifa hadi juzi tu jumatatu alikuwa na mikutano ya hadhara na wananchi sehemu mbali mbali alipo kuwa akielekea DODOMA ila baada tu ya waziri kutoa tamko hata mwenye kiti wetu hajafanya mkusanyiko wowote , hili lipo wazi kada mwenzangu
Hakuna tofauti kati ya wewe na kibajaji au slow slow. Mavuvuzela walingojea Chadema waseme ndipo wasitishe mikusanyiko. Akili za kukomoana.Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Cha kushangaza ugonjwa umekua fursa kwa wauza viziba puaLakini, kama kweli kuna Covid-19; ni busara kuzipa kipaumbele afya za Watanzania dhidi ya siasa.
KUB amechanganyikiwa.
Yote mema.
Hauwezi kutumia hata Akili kidogo kutambua Mbowe alitangza lini kuhusu hiyo mikutano na polepole alitangaza lini na waziri alitangaza lini kuhusu kusitisha mikusanyiko? Mbona hata mtoto wa darasa la Pili anaweza kutambua?Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Yaani leo ndio umetumia akiliWakudadavuwa, Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua,
No I don't believe this. Wakati Mbowe akitangaza kuanza mikutano, Corona ilikuwa bado, lakini baada ya Corona kuingia, ataahirisha, April bado mbali.
P
Unadhani Watanzania hatujui nia ovu ya CCM?mlishauriwa na wapinzani mfunge mipaka hamkusikia,Msigwa aliwashauri suala hili lijadiliwe bungeni kama jambo la dharula mkajitia kichwa ngumu.Mmeendelea kupokea watalii kwa sababu mnajali zaidi fedha na siyo Afya za Watanzania. Muda Fulani muone aibu kwa matendo yenuKupitia Corona ,watanzania tutaoata muda wa kuitafakari CHADEMA na nia yake mbaya kwa watu. Swali la msingi litakuwa , je CHADEMA ni chama Cha siasa kinachojali au kikundi kinachohitaji kuvuna ukwasi ?
Umeharakisha mno, vitu vingine huhitaji rocket science kuvielewa ni just the use of common sense.
P