Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
-
- #121
Intelijensia ya Chadema imekufaIntelligensia ya chadema haikujua uwepo wa corona? Kwa nini haikumshauri asitangaze? Kwa nini hajaomba msamaha kwa hill?
Mgonjwa wa kwanza yuko Moshi kwa nini hajaenda kumsalimia ?
Sasa ulikuwa unataka nini?Si tuliwaambia muda bado upo na mikutano ni april,sasa waziri katangaza hata saa 24 hazijafika wewe ulishakimbilia kuilaumu CDM!Yaani mna chuki binafsi na CDM mpaka imevuka mipaka!
Duuh hapa naona sasa mnakuwa wapumbav!
Intelejensia ya serikali iko wapi mpaka mtu anapita airport na koron bila kufahamika?Serikali kwanini haijaomba msamaha?Umetumia vigezo gani kuuliza kwanini hajaenda kumuona mgonjwa huyo?Ana undugu naye?Au kisa yuko moshi?Acheni ujinga,chuki dhidi ya CDM zimefanya mnakuwa wangese kabisa!Intelligensia ya chadema haikujua uwepo wa corona? Kwa nini haikumshauri asitangaze? Kwa nini hajaomba msamaha kwa hill?
Mgonjwa wa kwanza yuko Moshi kwa nini hajaenda kumsalimia ?
Mikutano ni april,muda bado upo!Hata shule zimefungwa mpaka april so naona hakuna haja ya kusitisha mpaka muda ufike na tuone hali itakuwaje!Hayo ni mawazo yangu japo CDM wameshatangaza kuahirisha!Sawa.
Tuondoe siasa tujadili mambo bila ushabiki.
Mimi si CCM wala CHADEMA, nawasema wote tu kwa kuangalia hoja.
Mbowe aliongea habari za mikutano kabla ya kudhihirika kwamba tuna Coronavirus Tanzania (ingawa alitakiwa ajue inaweza kuwepo muda wowote).
Sawa, tuseme alitoa tamko kabla ya Corona kufika kwetu.
Sasa Coronavirus ishafika. Watu watatu wanaumwa, wengine 26 wanashukiwa kuwa wanaweza kuwa nayo, wengine wanaingia nchini, wengine wanazunguka.
Kwa kujua hilo sasa, ameahirisha mikutano?
Ametoa tamko la kuahirisha mikutano tujue kaweka afya za watu mbele kuliko siasa?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Mikutano ni april,sioni haja ya wao kusitisha sasa wakati muda bado upo!Ikifika wakati huo kama janga litakuwa halijakwisha basi wamaweza kutangaza kusitisha!Kwa hiyo CHADEMA wametoa kauli kwamba waneahirisha mikutano kutokana na Coronavirus?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Usiseme "tufanye" fanya mwenyewe.tufanye hivi Mbowe hana taarifa ya uwepo wa corona sababu alikuwa jela..yaani hajasikia kabisaaaaaaaa
Wewe na wenzio mmeanza lini kuwa na akili timamu?Usiseme "tufanye" fanya mwenyewe.
Mimi na wenye akili timamu tunajua context yote ila waliojitoa ufahamu ndo wanajitahidi kufanya upotoshaji.
Nampongeza JPM kwa kutuletea CORONA Tz.
Je, huyo Mbowe inayemtetea ameishabadili tamko lake sasa?Wakudadavuwa,
Lile kundi la wanaccm walikuwa wakimshangilia Magufuli akifukuza watu kazi lilikuwa la wanachadema? Chadema ilipotangaza itafanya mikutano uwepo wa Corona nchini ilikuwa haujatangazwa, wewe na Chadema ni wakewenza nini? Sasa chuki ya nini.
Unaelewa kwamba April ni less than two weeks away?Mikutano ni april,muda bado upo!Hata shule zimefungwa mpaka april so naona hakuna haja ya kusitisha mpaka muda ufike na tuone hali itakuwaje!Hayo ni mawazo yangu japo CDM wameshatangaza kuahirisha!
Mbona hamumuulizi JPM kwanini alifanya mikutano huku akiwa na taarifa za korona kuingia nchini?
Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Kwa hiyo CHADEMA wametoa kauli kwamba waneahirisha mikutano kutokana na Coronavirus?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Wanasubiri siku ya mkutano ifikie ndiyo waahirishe mkutano?Tarehe waliyo itangaza kuwa wataanza Mikutano haijafika Mkuu ,suala la kusitisha lipo wazi watakanusha sababu ktk Taarifa yao walisema watafuata utaratibu wa Sheria.
Tamko la Serikali kupitia Waziri Mkuu lipo wazi na ni Amri ,tusubiri Muda ufike ndio tuwahukumu.
Wanasubiri siku ya mkutano ifikie ndiyo waahirishe mkutano?
Kitu gani kinawazuia kusema leo kwamba kutokana na janga la Corona wanasitisha mikutano kuepuka maambukizi?
Unaelewa kwamba kama hamna tamko hilo kutoka uongozi wa CHADEMA kuna watu wa CHADEMA wanaweza kuwa wanafanya mikutano hata leo?
Unaelewa kuwa hilo tamko lilitoleea kabla ya Cirina kuingia n hini?Mkuu ,Taarifa yao inasema Wataanza Mikutano Tarehe 4 April.Wame tumia Neno "wataanza" hivyo haiwezi kuwa sasa.
Povu la nini hadi mnajihami na CORONA? Nyinyi wenyewe ni afadhali ya CORONA.Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Hao vijana wajuaji sana ila hawana hojaUnaelewa kwamba April ni less than two weeks away?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha mikusanyiko ya kisiasa. Hii ndio busara mpya ya KUB?
Wakudadavuwa, Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua,
No I don't believe this. Wakati Mbowe akitangaza kuanza mikutano, Corona ilikuwa bado, lakini baada ya Corona kuingia, ataahirisha, April bado mbali.
P
Jana ilikuwa haijaanza?mbona haiti mkutano wa wanahabari kubadili kauli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda bado, ataahirisha tuu.
P
Haya Kaka mkubwa WakudadavuwaUmeharakisha mno, vitu vingine huhitaji rocket science kuvielewa ni just the use of common sense.
P
KaribuMuda huu mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa corona
Updates
Kama chama mwenyekiti ametangaza kusitisha shughuli za mikutano hapo April waliotangaza kuianza baada ya muda kutokana na katazo batili la mh. Rais