Busara kidogo inahitajika katika hili

Family matters are so confusing.
Case yangu mimi japo ni tofauti .the exctly opposite na ya Carleen, mama aliniacha kw mzee akaenda kuolewa huko na muhaya mwenzie.Nimelelewa na mama mlezi .kufupisha stori ni kwamba Badae huko baba akajaga niuliza hiv unawasilanaga na mama zako wadogo? Nikamwambia " I dont feel them to be part of my life.Ndugu zangu ni hawa naowajua my whole life.Hao wengine napata tabu sana kuwazoea na sipendi kujilazimisha" ikaishia hapo
 
Aisee pole sanaa.. Daah maza alizingua sana!!
 
Hii ndio point[emoji419] namshahuri muhusika achukue...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umeanza vizuri umemaliza vibaya apo mwisho

Sorry to say this!
 
Nice one, but please rephrase your paragraph number 6, i thinks there's no need to that
 
Umenena vyema mzee wa kimsihara.Maan watu badala ya kutoa ushuri wamejikita sana kumshutumu huyu mzee....

Mimi pia sishauri Carleen ajisumbue kw lolote na huyu mzee ila we rest hatujui the bckground...tusimhukumu mzee wa watu
It doesn't matter kujua the background, he is a shit man and thats the best way to describe him, period

Niko na same situation ila mimi ni wakiume, mzee amerudi after 25 good years eti anataka namba yangu ya simu, nikamwambia mama asimpe sina simu kama anataka kitu akwambie.

Sina mawasiliano na sitarajii kuwa na mawasiliano naye in anyway round despite the fact sijalelewa na baba mlezi, its a one woman's show mpaka namaliza my first degree. Nimekosa nini am happy with my life sihitaji uwepo wake kabisaaa

Bad enough sijazoea kumuita mtu baba siwezi kabisa. So please don't entertain those fuckers muhimu ni wewe ujifunze kupitia yeye na uwe a better man for ya family
 
Hata kama angekuta huyo mama kaolewa bado haimpi sababu kutohudumia mtoto wake...kukosana na mama mtoto haitoi sababu mzee kuingia mitini alafu badae eti anarudi anarudi kufanya nini na hakusimamia nafas yake kama baba.

Shameless
 
Pole sana...anarudi kipindi hiki ukute ashakua mzee pesa hakuna anajua ana jembe lake mahala aje aponee kwako.
 
Ukimaliza hapo, rudi kwa Baba mlezi umpe picha nzima. And maybe, muulize anashauri nini. It will make him feel better, kuliko kukaa kimya huku akiwa anajua kinachoendelea.
Her 'step daddy' needs to hear it straight from her.

Sijui kwanini nimekumbuka mstari huu toka kwenye lyrics za Dear Mama wa Tupac Shakur
"No love from my daddy, 'cause the coward wasn't there
He passed away and I didn't cry, 'cause my anger
Wouldn't let me feel for a stranger
They say I'm wrong and I'm heartless, but all along
I was lookin' for a father, he was gone"

Ila nimekaa naye na kuongea naye it's like talking to a stranger, ana maisha yake tu anajiweza lakini Ile furaha hupata nikiwa na Baba yangu mlezi it was never there.!
 
Sawaa..u r right to judge cz u r the story n u know everythng
 
Hata kama angekuta huyo mama kaolewa bado haimpi sababu kutohudumia mtoto wake...kukosana kwa wazazi hakuwapi sababu kugoma kutoa huduma kwa mtoto/watoto huu ni utegezi wa majukumu.
What if kama hakuta hilo?
 
Pole yako, lakini umwambie tu kwa lugha rahisi na ya kueleweka kua sio rahisi kujenga bond anayoitaka yeye kwa sasa kwani bado ni mapema mno.

Huo usumbufu ni kwa vile tu hajaishi na ww mda mrefu, mkizidisha ukaribu trust me lazima mtakuja kuzinguana coz bado hamjuani hata kidogo.
 
Nilimaanisha vp kamaq jamaa alijitokeza akataka kutoa support ila bimdashi akagoma kwakua tayar yuko kwenye ndoa mpya na hataki ku compromise the family??
Sioni mahusiano ya mama kuolewa na kukataa baba halisi asihudumie mwanae labda kama alitaka warudishe mahusiano lakin bado haimpi sababu mwanaume kupotea na kurud baada ya miaka yote hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…