Busara kidogo inahitajika katika hili

Nitazungumza na Baba this Pasaka, nitaona kile atasema..!
 
Ah hii Stori na hizi bangi kichwani kwangu naona inanichanganya tu.

Ngoja nisubscribe nitasoma kesho[emoji42][emoji42][emoji444][emoji445]
 
Great story, so happy for the both of them . If only snowflakes would take the time to read this and see how life is suppose to be , not centered on oneself but on those in ur life.
It is still okay to love your stepfather you are in a place where you think you have to make a choice between fathers.
There is no need to make a choice. Care about both, and keep in mind what the relationship is now may not always be the way it is now.
Forgive and forget
So happy for u best wishes

Now it's 3.16am, karibu wine. Ila nshalewa
 
Na pombe inakuwaga na ngeresa safi kabisa[emoji3]
 
gracious,
this has been appreciated..!!

Ahsante kwa wine pia..!
 
Bond hutengenezwa.
Mapenzi ya mtoto ni earned.
Ukaribu na mtoto unakuzqa
Haiwi tu.

Usijihangaishe.
Na asichukulie poa miaka aliyokosekana kwenye maisha yako.

Ongea na baba kuhusu huyo chalii aliyekuja baadae( sorry I'm not sorry calling him that)
Kuna closure anahitaji kusikia unawaza nn.
Anzisha hayo mazungumzo na mwambie, lia ajue unavyojiskia.
Both of you need that conversation.
Namaanisha Baba aliye Baba, sio Baba aliye Mzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…