Bush stars na Born Town first eleven.....

Heheeee!! Naona dawa imekuingia kisawa sawa! Sasa tulia hivyo hivyo ili umalize Dozi labda utapunguza kuongea Utumbo




Nimeumia au nimekudharau? Ha ha ha nimekuona kama tahira tuu na chakubimbie usiyejua kufanya yako...
Eti lugha safi wew mwewe niniii? Wew ulitumia safi?
Sasa ni hiviii...
Arsenal walifungwa mbili na marefa fc.... kikikuuma kunya boga au kaogelee kwenye assid.. umesikia wew cha umbeaa?

Pasukaaaa kama umevimba..hivyo yani.
 
kizazi cha kikwete sio rahisi kukumbuka kina lord lofa pimbi
 


Naona umeanza kujikataa mwenyewe heheeee!! Mwenye kudharau hunyamaza sio wewe Kichwa cha Kuku na vipicha vyako vya Fesibuku😆
 
Sina uhakika kama kuna maktaba Tanzania ambayo ukienda unaweza ukapata haya machapisho pamoja na mengine ya nyakati hizo!
Ukweli ni kwamba huenda vizazi vijavyo vikashindwa kujua kama walikuwepo wasanii na wachoraji ngoli waliowahi kuishi katika ardhi hii ya Tanzania.
 
Mapung'o alikua kama gaucho wao!!

Kuna wale walikua wanaenda uwanjani wamepakizwa kwenye kijiko
 
Kuna training session moja hiyo jamaa walikuwa wanachemshwa kwenye sufuria kubwa afu moto mkali unachochewa ili kuwakomaza wachezaji ..............dah ilikuwa ni hataree
 
Mapung'o japo alikua ni mtu wa bata sana.. Jamaa alikua hatari sana mbele ya goli.. Nakumbuka aliwahi kusajiliwa uarabuni kutokana na uwezo wake uwanjani.
aliwahi kwenda na chelsea pia huyu jamaa
 
Wakuu kunayule jamaa katikati ya game akatupia mzinga wa nyuki game ikaisha hapohapo, Bob mikwara mzee wa mikwara, Sokomoko mzee wa tungi kuna yule jamaa alikua mwizi sana nimesahau asee zamani raha sana!
huyo jamaa alikuwa anaitwa profesa ndumilakuwili............
 
nakumbuka hapo ulikuwa unawaona akina 50 cent wanapasua kuni na mademu wengine mastaakipindi hko wakipepeta mchele huko jikoni.................
 

Unarushiwa jiwe unapiga kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…