Bush stars na Born Town first eleven.....

Bush stars na Born Town first eleven.....

Heheeee!! Naona dawa imekuingia kisawa sawa! Sasa tulia hivyo hivyo ili umalize Dozi labda utapunguza kuongea Utumbo




Usiseme yasiyonihusu hiyo kauli yako ya Chelsea eti imesaidiwa na Refa unaitembeza kila jukwaa!! Kifupi huna jipya!! Halafu usipende kutumia lugha chafu,kama na mimi nitaamua ku deal na wewe kwa lugha chafu sijui kama hutokimbia humu!! Twende kwa kuheshimiana tu,acha ku panic unapoambiwa ukweli,wanasema ukweli unauma,
Nimeumia au nimekudharau? Ha ha ha nimekuona kama tahira tuu na chakubimbie usiyejua kufanya yako...
Eti lugha safi wew mwewe niniii? Wew ulitumia safi?
Sasa ni hiviii...
Arsenal walifungwa mbili na marefa fc.... kikikuuma kunya boga au kaogelee kwenye assid.. umesikia wew cha umbeaa? 1443667276821.jpg

Pasukaaaa kama umevimba..hivyo yani.
1443667323149.jpg
 
Nimeumia au nimekudharau? Ha ha ha nimekuona kama tahira tuu na chakubimbie usiyejua kufanya yako...
Eti lugha safi wew mwewe niniii? Wew ulitumia safi?
Sasa ni hiviii...
Arsenal walifungwa mbili na marefa fc.... kikikuuma kunya boga au kaogelee kwenye assid.. umesikia wew cha umbeaa? View attachment 293259

Pasukaaaa kama umevimba..hivyo yani.
View attachment 293260


Naona umeanza kujikataa mwenyewe heheeee!! Mwenye kudharau hunyamaza sio wewe Kichwa cha Kuku na vipicha vyako vya Fesibuku😆
 
Sina uhakika kama kuna maktaba Tanzania ambayo ukienda unaweza ukapata haya machapisho pamoja na mengine ya nyakati hizo!
Ukweli ni kwamba huenda vizazi vijavyo vikashindwa kujua kama walikuwepo wasanii na wachoraji ngoli waliowahi kuishi katika ardhi hii ya Tanzania.
 
Mapung'o alikua kama gaucho wao!!

Kuna wale walikua wanaenda uwanjani wamepakizwa kwenye kijiko
 
Eeh bwana ilikuwa hatari sana.
Mimi nilikuwa napenda yale madongo wanayopeana wakati wa game.
Wa vijijini wakiwatuhumu wa mjini kuwa ni warembo/walaini kama watoto wa kike, wa mjini wakiwatuhumu wa vijijini wachafu na ushamba wao.
Bila kusahau mazoezi makali ya Bush Stars....daah!
Kuna training session moja hiyo jamaa walikuwa wanachemshwa kwenye sufuria kubwa afu moto mkali unachochewa ili kuwakomaza wachezaji ..............dah ilikuwa ni hataree
 
Mapung'o japo alikua ni mtu wa bata sana.. Jamaa alikua hatari sana mbele ya goli.. Nakumbuka aliwahi kusajiliwa uarabuni kutokana na uwezo wake uwanjani.
aliwahi kwenda na chelsea pia huyu jamaa
 
Wale jamaa waliokuwa wanachora zile katuni walikua mahiri sana kwa simulizi kwakweli sasa hivi hata sijui wako wapi...kuna katuni maarufu pia kwnye jarida la Bongo nadhan sijui anaitwa Maprosso alikua na hela nyingi sana. ....hata simulizi ya kifo cha 2Pac Shakur jamaa walielezea kwa michoro as if ni movie kabisa...Yaani nilikua nafuatilia sana yale majarida kiasi kwanza ukililosa kwa wiki hilo unajisikia vibaya sana.
nakumbuka hapo ulikuwa unawaona akina 50 cent wanapasua kuni na mademu wengine mastaakipindi hko wakipepeta mchele huko jikoni.................
 
Eeh bwana ilikuwa hatari sana.
Mimi nilikuwa napenda yale madongo wanayopeana wakati wa game.
Wa vijijini wakiwatuhumu wa mjini kuwa ni warembo/walaini kama watoto wa kike, wa mjini wakiwatuhumu wa vijijini wachafu na ushamba wao.
Bila kusahau mazoezi makali ya Bush Stars....daah!

Unarushiwa jiwe unapiga kichwa
 
Back
Top Bottom