stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 519
mimi so wa zamani nakumbuka hizi habari nilikuwa nkizisoma nkiwa darasa la tano.............namkumbuka sana rafiki yangu Chama alikuwa akiniletea shuleni maana mzee wake alikuwa mfuatiliaji sana wa haya mambo ila kwa shariti moja tu........kumpa daftari langu la hesabu aigilizie kazi tulopewa na mwalimuDu kumbe kuna wanabodi wa zamani humu.Tukumbushane pia na mambo ya majeshi kwa waliopitia huko kwa mujibu wa sheria,Pamoja na burudani ya gazeti la sani tujikumbushe jinsi tulivyohenyeshwa jeshini pia:wink::wink:.