Business Class ina raha yake - tafuteni pesa

Emirates A380 business class niliopanda kwenda BALI (Indonesia) kutokea Dubai tulikaa upper deck (nyuma). Usikariri
Hii kitu ya Emirates nilipanda kutoka Oliver Thambo hadi Tunis via Dubai ilikuwa nshida...
 
mkuu nashukuru kwa bandiko japo mimi kama mtanzania mwenzako pia muafrica mwenzako na nature tuliyo nayo kama unavyotujua

UMENIKWAZA SANA
 
Shughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM.

Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara kadhaa nimekua nikifanya upgrade kukaa Business Class aisee treatment yake si ya kitoto kuanzia CHECK IN, EXCLUSIVE LUXURY LOUNGE na inflight menu na huduma super.

Tutafute pesa.

NB: Samahani kwa wote watakaohisi nimewakwaza kwa bandiko hili. Ila ndio uhalisia
'Mamake, umenikwaza......unaishi wapi wewe? Lazima nikushughulikie kabla ya huu mwaka uishe.
 
Shughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM.

Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara kadhaa nimekua nikifanya upgrade kukaa Business Class aisee treatment yake si ya kitoto kuanzia CHECK IN, EXCLUSIVE LUXURY LOUNGE na inflight menu na huduma super.

Tutafute pesa.

NB: Samahani kwa wote watakaohisi nimewakwaza kwa bandiko hili. Ila ndio uhalisia
Usije kuwa unatumia kodi zetu kupanda daraja la kwanza. Maana huko serikalini wamejaa Mchwa.
 
Back
Top Bottom