Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!

Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!

Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali

BC0B710B-F787-4476-8FF8-52A367F4F731.jpeg
EF96DEDD-9983-41CE-A1EA-3DB6E46C2326.jpeg
 
Kwenye hiyo list Egypt haipo,itakua fake ili kuibeba Tanzania!!

Watalii wa Tanzania inasemekana mtu akitalii Serengeti anahesabiww,alienda tarangire ama mikumi mtu yule yule anahesabiww tena kama mtalii mpya!!
 
Inatia moyo, natumai upande wa mapato nao utakua vizuri.
 
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!

Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!

Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali

View attachment 2201768View attachment 2201769
Hii ni Africa ya wapi. Morrocco na Egypt haziko Africa?
Kenya, Uganda na Rwanda watakosaje watalii laki mbili hadi wakosekane kwenye orodha?
 
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!

Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!

Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali

View attachment 2201768View attachment 2201769
Sawa lakini ni kwa vile ma giants waliweka masharti magumu ya covid so ni suala la mda tuu Morocco, Egypt,Tunisia, Zimbabwe,Kenya,watarudi kwenye nafasi zao..

Watalii 900k ni wachache sana maana kuna kipindi tulifikia watalii zaidi ya mil.1.5
 
Duh...!. The gap is 1.4 m to the top!. The Royal Tour gonna bridge the gap!.
Kazi iendelee!.
P
Mhe. Rais anastahili pongezi sana kwenye hili! Kuna kazi kubwa sana tunatakiwa kufanya kwenye hili kwa sababu sekta ya Utalii ndo sekta yenye uhakika zaidi kwenye kupata hela!
 
Kwenye hiyo list Egypt haipo,itakua fake ili kuibeba Tanzania!!

Watalii wa Tanzania inasemekana mtu akitalii Serengeti anahesabiww,alienda tarangire ama mikumi mtu yule yule anahesabiww tena kama mtalii mpya!!
Kwani Serengeti na Tarangire hazipo Tanzania?

Tupe takwimu zako za kweli! Takwimu hupingwa kwa takwimu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Duh...!. The gap is 1.4 m to the top!. The Royal Tour gonna bridge the gap!.
Kazi iendelee!.
P
Hakika mkuu tulichelewa Sana! Malasia watalii zaidi ya 4M 2021, vivutio vichache zaidi utamaduni wao.
 
Back
Top Bottom