KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Najuwa ujuha wako hapa JF. Sipotezi muda wangu na watu wa aina yako.Unateseka ukiwa wapi?
Tupe takwimu zako basi kutoka hapo chato?😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najuwa ujuha wako hapa JF. Sipotezi muda wangu na watu wa aina yako.Unateseka ukiwa wapi?
Tupe takwimu zako basi kutoka hapo chato?😂
Matumizi ni makubwa mara 2 kuliko mapatoTatizo mapato hayo wanayoingiza
Sijuwi zinakwendaga wapi
Ova
Na hapo ni nchi 2 Bara na ZanzibarNo lockdown.
Hata 2020 ilikua hivyo.
Nchi nyingine zote zilikua na lockdown.
Najuwa ujuha wako hapa JF. Sipotezi muda wangu na watu wa aina yako.
Mh Rais SSH awe makini na Data wanazo mpa kuhusu UTALII , nafikiri amesoma ripoti ya CAG kuhusu VISA feki. Kama wana weza kuwa na watalii feki basi kutengeneza ripoti feki inaweza kuwa maradufu...Uchawa usiwape upofu wa kuidanganya dunia.Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
View attachment 2201768View attachment 2201769
Tukumbuke pia visa feki kibao zilitolewa pale Airport ,kwa hiyo kupika takwimu kama hizo kwao ni rahisi zaidi.Kwenye hiyo list Egypt haipo,itakua fake ili kuibeba Tanzania!!
Watalii wa Tanzania inasemekana mtu akitalii Serengeti anahesabiww,alienda tarangire ama mikumi mtu yule yule anahesabiww tena kama mtalii mpya!!
Zitakusaidia nini wewe usiyejua maana ya takwimu.Kwani kuna shida gani ukitupa takwimu zako?
Pamoja na I kweli kwamba Idaho ya watalii inaongezeka, hii ranking sikubaliani nayo. Egypt inapata mamilioni ya watalii lakini siioni hapa!Kwenye hiyo list Egypt haipo,itakua fake ili kuibeba Tanzania!!
Watalii wa Tanzania inasemekana mtu akitalii Serengeti anahesabiww,alienda tarangire ama mikumi mtu yule yule anahesabiww tena kama mtalii mpya!!