Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
View attachment 2201768View attachment 2201769
sio kweli takwimu inachukuliwa kwenye eneo lalngo la kuingilia nchi airport, bandarini na mipakani.Kwenye hiyo list Egypt haipo,itakua fake ili kuibeba Tanzania!!
Watalii wa Tanzania inasemekana mtu akitalii Serengeti anahesabiww,alienda tarangire ama mikumi mtu yule yule anahesabiww tena kama mtalii mpya!!
Duh...!. The gap is 1.4 m to the top!. The Royal Tour gonna bridge the gap!.Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
View attachment 2201768View attachment 2201769
Hii ni Africa ya wapi. Morrocco na Egypt haziko Africa?Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
View attachment 2201768View attachment 2201769
Sawa lakini ni kwa vile ma giants waliweka masharti magumu ya covid so ni suala la mda tuu Morocco, Egypt,Tunisia, Zimbabwe,Kenya,watarudi kwenye nafasi zao..Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
View attachment 2201768View attachment 2201769
Covid restrictions iliwaondoa,pili kuna tofauti ya international arrivals na local..Aiseee list ya kimchongo hii egypt,morocco,tunisia haziko siamini ....
Takwimu hupingwa kwa takwimu!Aiseee list ya kimchongo hii egypt,morocco,tunisia haziko siamini ....
Kazi inaendelea kweli kweli
Mhe. Rais anastahili pongezi sana kwenye hili! Kuna kazi kubwa sana tunatakiwa kufanya kwenye hili kwa sababu sekta ya Utalii ndo sekta yenye uhakika zaidi kwenye kupata hela!Duh...!. The gap is 1.4 m to the top!. The Royal Tour gonna bridge the gap!.
Kazi iendelee!.
P
Leta takwimu za 2020 tuzioneNo lockdown.
Hata 2020 ilikua hivyo.
Nchi nyingine zote zilikua na lockdown.
Leta takwimu zako za kweliUongo
Kwani Serengeti na Tarangire hazipo Tanzania?Kwenye hiyo list Egypt haipo,itakua fake ili kuibeba Tanzania!!
Watalii wa Tanzania inasemekana mtu akitalii Serengeti anahesabiww,alienda tarangire ama mikumi mtu yule yule anahesabiww tena kama mtalii mpya!!
Leta takwimu zako za kweli
Hakika mkuu tulichelewa Sana! Malasia watalii zaidi ya 4M 2021, vivutio vichache zaidi utamaduni wao.Duh...!. The gap is 1.4 m to the top!. The Royal Tour gonna bridge the gap!.
Kazi iendelee!.
P