Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

Duh...!. The gap is 1.4 m to the top!. The Royal Tour gonna bridge the gap!.
Kazi iendelee!.
P

Yaani unaamini kabisa uongo ulio wazi hivyo ? Unaamini Tanzania inaishinda Mauritius, Seychelles, Tunisia au hata Kenya kwa idadi ya Watalii ?
 
Weka habari yote ya hilo Gazeti/Magazine Tanzania hata top 5 Afrika haimo, hata Kenya tu hatuwafii na wametuacha mbali kwa idadi ya Watalii!
Ndugu takwimu hupingwa kwa takwimu sio maneno! Nimekuwekea Business insider Africa wameripoti! Zaidi nenda kwenye page yao.

Kama una lolote la kupinga na wewe weka takwimu zako
 
Reactions: Tui
Yaani unaamini kabisa uongo ulio wazi hivyo ? Unaamini Tanzania inaishinda Mauritius, Seychelles, Tunisia au hata Kenya kwa idadi ya Watalii ?
Suala sio kuamini! So far data zinasema hivyo! Wewe mwenye data tofauti leta data zako acha blah blah na malalamiko
 
Reactions: Tui
Hakika mkuu tulichelewa Sana! Malasia watalii zaidi ya 4M 2021, vivutio vichache zaidi utamaduni wao.
Tukiwa serious sekta ya Utalii tu inaweza endesha hii nchi
 
Hii ni Africa ya wapi. Morrocco na Egypt haziko Africa?
Kenya, Uganda na Rwanda watakosaje watalii laki mbili hadi wakosekane kwenye orodha?
Morroco na Egypt sababu ya restriction zao za corona, watalii hawakwenda!
 
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!

Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!

Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali

View attachment 2201768View attachment 2201769
Wewe usifanye watu mamburula. Ziara za kutangaza huo utalii zinafanyika mwaka huu 2022 tena bado zinaendelea. Hizo takwimu ni za mwaka jana 2021. Sababu kubwa ya kupata hao watalii Tanzania hatukua na lockdown na hatukufunga mipaka yetu. Aliyeweka huo msimamo anajulikana, mungu amrehemu.
 
Alafu unapotaka kupamba nyumba angalia ya jirani yako isije haribu mvuto wa nyumba yako.

Hebu tujadiri hiki hapa (VISITED), maana kudangaya sana unaweza kuja kujikataa kwamba wewe si wewe.

South Africa kulikuwa na lockdown nao wameongoza! Hapo vipi?

Lockdown sio kigezo! Kigezo ni sera Nzuri za kuifungua nchi
 
Morroco na Egypt sababu ya restriction zao za corona, watalii hawakwenda!
Siyo kweli.

Na hata ingekuwa kweli, kuna kitu gani hapo cha kutambia kuwa Tanzania imekuwa ya pili Africa, kumbe kipimo chenyewe cha kuwa wa pili ni kibovu?
 
Siyo kweli.

Na hata ingekuwa kweli, kuna kitu gani hapo cha kutambia kuwa Tanzania imekuwa ya pili Africa, kumbe kipimo chenyewe cha kuwa wa pili ni kibovu?
Tupe takwimu zako za kupinga Tanzania kuwa ya pili Afrika kwa kupokea watalii wengi kwa mwaka 2021
 
Hujaeleweka hoja yako ni ipi?
Akili imefungiwa sehemu ndiyo maana akili yako haitaki kuelewa.

Kukuongezea kwa kizungu, A
lmongst 54 African Countries that Have been Most visited by international Tourists TANZANIA is ranked 2nd after South Africa.A total of 900,000 tourists visited Tanzania in 2021.

Huo mwaka mnampigia makofi asiyehusika kisa roho mbaya kwa yule baba.

Soma akili ikiwa imetulia utaelewa.
 
Ila mapato hayajulikani yanakwenda wapi...
 
Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!

Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!

Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali

View attachment 2201768View attachment 2201769

Hutasikia mtu akisimsifia JPM kwa uamuzi wake wa kukataa lockdown uliowesha hili kufanikiwa. Huwezi kusikia zaidi ya kumtukana marehemu na kutafuta mapungufu yake kwa tochi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…