Busta Rhymes: Diamond ni Michael Jackson wa Africa

Na tuzo ya BET imeenda kwa Diamond, si ndiyo? Usipende kutilia maanani kila ulisikialo toka kwa wasanii.....kule kunaitwa kupamba mtu ili akupitie mbali asikuombe selfie. Kwa akili yako, unafikiri Busta cares for Diamond?
 
Jamaa anawatambulisha wamarekani wenzie kwa staha lakini waafrika kwa kuanza na Mitusi nao wanaona fahari! Hatar sana!
 
Na tuzo ya BET imeenda kwa Diamond, si ndiyo? Usipende kutilia maanani kila ulisikialo toka kwa wasanii.....kule kunaitwa kupamba mtu ili akupitie mbali asikuombe selfie. Kwa akili yako, unafikiri Busta cares for Diamond?
Kama imekuingia na maumivu chomoa ujambe
 
Kama imekuingia na maumivu chomoa ujambe
Ona sasa ulivyo na hasira wewe chawa wa Domo, mtamalizwa na yeye kwa tamaa zenu za kijinga. Tafuteni vyenu, hamuoni haibu kukaa na kumsifia mwanamme mwenzenu ili awaweke mjini?
 
Michael Jackson!!![emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…