Busta Rhymes: Diamond ni Michael Jackson wa Africa

Busta Rhymes: Diamond ni Michael Jackson wa Africa

Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.

Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha kuisimamisha Africa.

Walikuwa wote studio pamoja na international producer wa Diamond aitwae Swizz Beats.
Michael Jackson huyu au wa wapi ?

Busta kabuma, kazeeshwa na madawa. Nahisi hajielewi kabisa.
 
Attachments

  • mjcontentt_1625076773350132.mp4
    6.6 MB
Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.

Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha kuisimamisha Africa.

Walikuwa wote studio pamoja na international producer wa Diamond aitwae Swizz Beats.

Labda bastarahimu wa BUZA KWA LURENGE.
 
Page ipi ya Insta ameandika hayo? Post ya lini? Explore account ya Busta hutoona huu uongo.

Then ukisema Busta ni No. 1 kwenye tongue twist sio sawa kuna kina Bone thugs n' harmony unawaacha wapi?

Hapa Twista na Krayzie Bone waflow fasta sana.

Kwa sasa huyo busta huko marekani ni sawa na dudu baya huku bongo
 
Huyo Busta kamkosea sana MJ; kutumia jina lake kwenye mfano wa ajabu kiasi hiki.

Kama wazungu wameshindwa kumpata MJ mpya hadi sasa iweje aje kupatikana Tandale! Busta niliwahi kumshauri aache kutumia bangi yenye unyevunyevu hakusikia, oneni sasa matokeo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Kwa condition anayopitia diamond we ulitaka aambiwe ukweli apate maumivu mara mbili?
 
Back
Top Bottom