Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Page ipi ya Insta ameandika hayo? Post ya lini? Explore account ya Busta hutoona huu uongo.
Then ukisema Busta ni No. 1 kwenye tongue twist sio sawa kuna kina Bone thugs n' harmony unawaacha wapi?
Jamaa huyu atakuwa hamfahamu twista