Busu na kufumba macho vinahusianaje



ni kweli na mm wanangu wanikibusu vinafumbaga macho ahahah! safi
 
macho ya kiwa wazi unaona vitu vingi ....ubongo baada ya kufeel ..utakua unatafsir unavyoona ...kwa hiyo inapoteza ladha za hizo hisia
 
Kupenda ni jambo linaloamsha upesi ogani za fahamu. Kufumba macho wakati wa busu ni "defence mechanism" ya ubongo ili kusitisha kazi nyingine za mwili, ili hisia ziitii nguvu ya kupenda.
 
Hili naona ni jukwaa la wanawake....
 
Mimi huwa sifumbi macho kabisa.. Napenda nione jinsi gani anavyohangaika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…