Busu na kufumba macho vinahusianaje

Busu na kufumba macho vinahusianaje

unapopata kiss kwa umpendae....kama mpenzi, mama , mtoto n.k mwili husisimka automatically kwa sababu kiss ni ishara ya upendo....! kitendo cha kufumba macho ni kwamba mwili unapokea zile hisia za ndani unajkuta umeshafumba macho...wazungu wanaita ekzaitimenti

Sent using Jamii Forums mobile app


ni kweli na mm wanangu wanikibusu vinafumbaga macho ahahah! safi
 
macho ya kiwa wazi unaona vitu vingi ....ubongo baada ya kufeel ..utakua unatafsir unavyoona ...kwa hiyo inapoteza ladha za hizo hisia
 
Kupenda ni jambo linaloamsha upesi ogani za fahamu. Kufumba macho wakati wa busu ni "defence mechanism" ya ubongo ili kusitisha kazi nyingine za mwili, ili hisia ziitii nguvu ya kupenda.
 
Umofia kwenu!!!

Tukiwa kwenye wimbi zito la TL na huku tukiendelea kuchangia pesa za matibabu nimekaa nawaza hapa hivi kwann mtu akikubusu lazima utafumba macho?? au hata ukitumiwa sms ya kukubusu automatic(mara nyingi) unajikuta unafumba macho! labda kwa ambaye humfeel !

kwann tufumbe macho?? kwanini tusikodoe tu jicho !kuna nerve gan hapa zinahusika !

natamani tu kufahamu!

happy sabath.
Hili naona ni jukwaa la wanawake....
 
Mimi huwa sifumbi macho kabisa.. Napenda nione jinsi gani anavyohangaika..
 
Back
Top Bottom