MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
- Thread starter
- #21
mimi huwa nafumba nikiona imethibitishwa umepokea
hahahah nimecheka sana !nadhan una nasaba kubwa na miss chagga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi huwa nafumba nikiona imethibitishwa umepokea
unapopata kiss kwa umpendae....kama mpenzi, mama , mtoto n.k mwili husisimka automatically kwa sababu kiss ni ishara ya upendo....! kitendo cha kufumba macho ni kwamba mwili unapokea zile hisia za ndani unajkuta umeshafumba macho...wazungu wanaita ekzaitimenti
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi hadi mate ya utam yananijaa mdomoni nikifanya hili tendo.
[emoji16][emoji16][emoji16]Yaan wewYaaap kwanza km humfeel hata Hilo kiss utakuwa unawahi kuhamisha mdomo au kugeuza kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mimi huwa nafumba nikiona imethibitishwa umepokea
Hili naona ni jukwaa la wanawake....Umofia kwenu!!!
Tukiwa kwenye wimbi zito la TL na huku tukiendelea kuchangia pesa za matibabu nimekaa nawaza hapa hivi kwann mtu akikubusu lazima utafumba macho?? au hata ukitumiwa sms ya kukubusu automatic(mara nyingi) unajikuta unafumba macho! labda kwa ambaye humfeel !
kwann tufumbe macho?? kwanini tusikodoe tu jicho !kuna nerve gan hapa zinahusika !
natamani tu kufahamu!
happy sabath.
mkuu wew vip hapa hufumbihahahah nimecheka sana !nadhan una nasaba kubwa na miss chagga
hahahaa!mkuu upako tena mpesa hapa nazungumzia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umepokea UPAKO au?
Hahaha [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahahaa!mkuu upako tena mpesa hapa nazungumzia